Msimamo wangu

Msimamo wangu

Unasema hutaki mwanaume bahiri lakini wewe mwenyewe hutaki mwanaume aguse hela zako hata kama unazo zaidi. Sasa nani ni mbahiri? Kuna wanawake WANAFIKI hapa duniani kwa kweli.

Ukitaka ale kwa jasho lake, basi ule kwa jasho lako. Wanawake wa kisasa mnayo matatizo mengi, mnasema hamtaki tena mfumo dume lakini bado mnataka kupewa kila kitu. You can't have your cake and eat it too. Kama bado mnataka kuchuna hela zetu basi jiandaeni kutawaliwa na kumilikiwa kama zamani. End of story.

huo sio mfumo dume, ni kutimiza majukumu yako fullstop.
 
hahaaaa!! if i had thoz guts!! nimeambiwa tunafanana phisicaly
haa haa watuumewashika nyeti so lazima wagugumie maumivu so wanaishia eti kujisifia kugegeda nakusepa...mfyuuuu!!! wakati kila leo wanalia kutendwa humu..kiruuuu
 
sawasawa,, huu ni msimamo wangu mimi kama mmeo.

1. familia ni jukumu langu, nitawajibika mimi pekee na kuhakikisha mnaishi maisha basic, hamna mbwembwe.
2. sina haja ya joint account na wewe, nitakupa pesa kulingana na mahitaji and not otherwise. nataka kila senti itakayotumika iwe documented,,risiti will be highly appreciated.
3. ni marufuku ndugu zako kuhamia kwangu,, na kama watakuja kutembea hawaruhusiwi kulala zaidi ya siku moja. pia aje mmoja mmoja at a time, not otherwise.
3. huruhusiwi kwenda kwenu kutembea, unless wazazi ama ndugu zako waandike barua maalum ya maombi na wakutumie nauli.
4. sihitaji kusaidiana nawewe kujenga nyumba,, niachie hilo jukumu. nitajenga mwenyewe na kuandika jina langu, lako halina haja.
5. jukumu langu na familia yangu tu (wewe na watoto), matatizo ya ndugu zako hayanihusu. ndugu zako ni mzigo wako, huruhusiwi hata kuniomba ushauri.

nadhani tutaenda sawa, wako mmeo!!

i love you too huby
 
haa haa watuumewashika nyeti so lazima wagugumie maumivu so wanaishia eti kujisifia kugegeda nakusepa...mfyuuuu!!! wakati kila leo wanalia kutendwa humu..kiruuuu

si mpaka wawapate hao wa kuwagegeda!! wanaogegeda wako kimyaaaa wanafanya vitendo tu, madebe tupu ndio yanalialia hapa
 
umeshachanganya madesa mie kwetu ndo kitinda mimba....

huhuuuuu!h hamkujipanga cha kusema eti!!! Kaizer shem wangu walaaa hakuna haja ya ushahidi
 
Last edited by a moderator:
Hebu piga moja unitumie PM nijue moja..nina pisto haijatumika siku nyingi ujue

uwiiiii basi shemeji nikuambieee, sasa huyu Mapi huyu ndio anamsumbuaga dada DEMBA, dada mweyewe hataa hataki
 
Last edited by a moderator:
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

Swali la kwanza ww mwenyewe unalipa? Maana mwanamke wa type hii inabidi uwe mkali/mzuri kupitiliza kiasi kwamba ukipita mahali kama kuna watu (jinsia zote) LAZIMA ukima utokee kdg kwa kuwa hamisha mawazo na duh! duh! nyingi. Hapo mtu kujitoa mhanga kwa hayo masharti yako
 
Ndo maana nakuita mnafiki, unataka kuwa na hela zako na kuwa independent na mume (ni sawa, sina shida na hilo lengo), lakini bado unataka kula hela zake pia. Mtu kama wewe utakosa kabisa mume maana hakuna mtu atakayekubali mawazo kama haya. Either uchague maisha ya kisasa ambayo kila mtu ana kazi yake na hela zake na mnashirikiana majukumu, au maisha ya zamani ambayo mume ndo anatafuta pesa na mke anabaki nyumbani.

Sijaona kitu kwenye msimamo wako zaidi ya ubinafsi tu.

huo sio mfumo dume, ni kutimiza majukumu yako fullstop.
 
Swali la kwanza ww mwenyewe unalipa? Maana mwanamke wa type hii inabidi uwe mkali/mzuri kupitiliza kiasi kwamba ukipita mahali kama kuna watu (jinsia zote) LAZIMA ukima utokee kdg kwa kuwa hamisha mawazo na duh! duh! nyingi. Hapo mtu kujitoa mhanga kwa hayo masharti yako

miimi silipi nadai, pitia uzi, utaona mahali wamemtaja pacha wangu, yaani tuko copy right
 
Ndo maana nakuita mnafiki, unataka kuwa na hela zako na kuwa independent na mume (ni sawa, sina shida na hilo lengo), lakini bado unataka kula hela zake pia. Mtu kama wewe utakosa kabisa mume maana hakuna mtu atakayekubali mawazo kama haya. Either uchague maisha ya kisasa ambayo kila mtu ana kazi yake na hela zake na mnashirikiana majukumu, au maisha ya zamani ambayo mume ndo anatafuta pesa na mke anabaki nyumbani.

Sijaona kitu kwenye msimamo wako zaidi ya ubinafsi tu.

hebu soma tena utaona
 
Nani anakudanganya bebi ake..mtaje mara moja maana naona kuwa kwangu shamba kunaketa shida....

yaani fanya urudi tu shemeji, hiyo bastola tuifiche kwanza
 
Back
Top Bottom