Msimamo wangu

Msimamo wangu

usilete maneno mengiii kujitia ujuaji wakat umeelewa kabisaaa, alafu marioo wanaolewa hawaoi, (hutaki unapita vileeee)

Wazungu kwao mwanamke anamarry huku kwetu hata uwe na hela kumzidi Mengi utaolewa tuuuuu.By the way thread huwa sichaguliwi yaani ipi nichangie na ipi nisiichangie.

Jf where we dare to talk openly.
 
kikawaida hapo huwa mnajifariji tuuu kuwa mmeoa ila kiuhalisia hata nafsi zenu zinatambua mmeolewa
 
Na mm nimeyapenda,sipendi mwanaume anayelalamika, kukopa kopa pesa, kiukweli hela yangu nayotafuta kwa shida hailiwi na mwanaume eti kisa mpenzi/ Mume nooo..

thats it, mwanaume co ndugu yako hawatabiriki hawa, tena ukute mhongaji pembeni ati!! uwii yangu hagusi hata kumi atatumia yake tu pia tutatumia yake tu!!
 
Back
Top Bottom