Msimamo wangu

Msimamo wangu

wewe utapenda kaka yako afanyiwe hivyo na mke wake?

huu ni msimamo wangu ila kama wifi naye atakuwa nao km wangu its.well n gud, walaaa sina shida nalo
 
ok nimekupata, ila kama ni hivyo basi edit hii kauli yako "hayo ndio mambo ya maana sasa, mengine unayofikiria ni upotoshaji tu!"
 
nothing wrong with it coz ninachokiamini na ninachokutaka uamini co lazima ukiamini!!!
 
ila unajichanganya dada yangu! so why did u challenge my stand if at all u mean what u have written in red?
 
hivi kwani unatakaje labda!
i chalenged it coz ndivyo ninavyoamini na ninavyokutaka uamini ila km hutaki kuamini pia haulazimishwi, shida iko wapi hapo?
 
basi tuachie hapa dada yangu, naona hatuelewani
 
atoto isije kuwa majazba na nguvu za soda..... Stand with your words .. Maanake kuna maRijali wakiaina mujini !
 
Last edited by a moderator:
Binti maneno meeengi kaolewe na mkurya kama utaweza kutekeleza usemayo hata kwa asilimia 2 tu!

hv wakurya wakoje mpaka wanaogopwa hv??? mbona mimi mkurya wangu hana shida na mcmamo unatekelezeka!!
 
Haina shida, endelea na hiyo hiyo misimamo yako, ukifikia kwenye mwaka wako wa 33, bado uko kwa baba yako uje urudi hapa utuletee amendments saawa!
 
huo umri nishavuka mm
 
Kuolewa sahivi bahati binti, wenzio sahivi penginena wewe baadaye utalazimika kumpa jamaa fedha akakutolee mahali, sembuse vijimasharti vyako hivyo?
 
bahati eti?, na hizo zinazovunjika kila cku ni bahati pia???
 
Back
Top Bottom