Msimamo wangu

Msimamo wangu

Mke mweny itikadi kali ivo unantisha ww mhhhh

nicngekuwa na itikadi ungelalamika pia!! ooooh!! mwanamke hana micmamo!! bas hiyo ndio micmamo yangu
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

You know you women are so controversial!!!!! huku mnataka haki sawa.......huku mnataka mwanaume akuhudumie yeye tu!!!!!mimi huwa siwapatii jibu......tatizo mnakuwa na sura nyingi mno!!!!hasa wewe uliyeanzisha mada ungekuwa mke wangu yani ningefurahi sana maana nisingehitaji hata senti yako kwangu ila sasa ungelazimika kwa namna yoyote kuwa yule mwanamke halisia......kama wafanyavyo wenzetu waarabu wa imani kali......hawa watu huwa wananifurahisha sana!!!!
 
kuna tofauti kati ya haki na wajibu
 
wacha we!!! hakuna kitu kama hicho, mcmamo palepale this is real life

usijali honey...just be whatever and live however u want. this life is too hard to live under others wishes. be you and let those who want you take u as u ar.
 
ulegee kwa mambo ya maana siyo aliyosema mtoa mada, si utakuwa bhushoke sasa!

hayo ndio mambo ya maana sasa, mengine unayofikiria ni upotoshaji tu!
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

Atoto mi binafsi sijaona kipya katika vipengele vyote ulivyo andika, sheria ya ndoa kwenye vipengele vya umiliki mali, imeeleza the same, ukija kwenye matunzo ya familia 95% mwanaume ndio mtunzaji ni wanawake wachache sana wanao weza kujikakamua na kutoa chenji zao kulisha familia bila manung'uniko. 65% watasema sema.

Ukienda kwa viburudisho ndio yaleyale mpaka nyumba mwanaume atakujengea, gari atanunua na upuuzi mwingine wote atawajibika.

Tofauti niliyoiona ni aina ya uandishi kuwa wa kichokozi ili watu wafunguke. Si mling'ang'ania 50-50 mbona mnaanza kunung'unika kwa sauti ya juu...hahahahaaha.
 
ungevitofautisha kwanza ndio ukaandika. We umeandika cocktail yake...mweh!

google, vp nawe unataka haki sawa?? haki ni sawa ila wajibu ndio tofauti
 
Atoto mi binafsi sijaona kipya katika vipengele vyote ulivyo andika, sheria ya ndoa kwenye vipengele vya umiliki mali, imeeleza the same, ukija kwenye matunzo ya familia 95% mwanaume ndio mtunzaji ni wanawake wachache sana wanao weza kujikakamua na kutoa chenji zao kulisha familia bila manung'uniko. 65% watasema sema.

Ukienda kwa viburudisho ndio yaleyale mpaka nyumba mwanaume atakujengea, gari atanunua na upuuzi mwingine wote atawajibika.

Tofauti niliyoiona ni aina ya uandishi kuwa wa kichokozi ili watu wafunguke. Si mling'ang'ania 50-50 mbona mnaanza kunung'unika kwa sauti ya juu...hahahahaaha.

we we we!!! kuna familia mama ndio baba, baba yupoyupo tu anajua kazi yake ni kutoa mbegu, kila cku kulialia tuuuu!! aaggr!!
 
halafu wewe atoto ujue nmshamaliza kreti zima la novida!! nahitaji lingine tafwazali

duuh!! dada hilo tumbo au pipa?? kwa mtindo huu shem Kaizer inabd aanzishe kiwanda cha novida, kwa sasa pata maji barid kwanza, sukari nayo matatizo ujue?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom