wanaume mabahili leo hapa watakuwaje wakali!!!! ngoja niagize novida mie nijionee mpambano wa mineno ya shombo
Mume wako akitengwa na ndugu zake,utamhamishia kwenu?,hta ww kuna mambo ya msing na ndg zko mume hatopaswa kuyawekea msimamo,coz yanareflect ya moja kwa moja kat yko ww na familia ya kwenu.
masharti kiasi jamani sa huyu si anajaza booklet hata tatu..... ah vituko wanajijua wenyewe, ila sio ka wewe best
MSIMAMO WANGU: -
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea!
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi!
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa!
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau! Imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide!
6. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine ctaki!
7. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi!
8. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa!
9. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo!
10. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu! Narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali!
*NIMEMALIZA*
weeeh sema hakyamungu!!!!wakupe kreti... ntakuja kulipia

Tumekusikia....Tutakaa mbali na wewe!.
halafu bila hata haya anajiita mwanaume