Msimamo wangu

kijiwowa? hilo haliwezekani na kama maneno ya watu yangekuwa yanaumba mbona ingekuwa shida duniani hapa!!!


tena hasa maneno ya wanaume!!! duuh wanawake tungepata taabu
 
Weka hata picha ya kucha basi! si masharti marefu km zindiko la utajiri kumbe binti mwenyewe Asha Ngedere afadhali, kicheko ka cha Bi Chau!?
 
Kajipange pale Ambiance mapema sana maana huko kwa Kimboka uliko ni mbali na wateja wenye mkwanja naamini utafanikiwa.
 
ze sred iz temporale klosed till moningi....it getting let you know
 
Mhhhh.....Hujakumbwa na mahaba bado, omba Mungu yasikupate...

Halafu hapo kwenye ndugu hapo HAPANA....unadhani mtoto wa watu kajizaa mwenyewe? Kajisomesha mwenyewe? Yani kukutana ukubwani ndo umtenge na ndugu zake?
Kumbuka kwa familia zetu za kiafrika hadi unakutana nae amekomaa hivyo ujue kuna watu walijitoa na walipata karaha kwa ajili yake...acha alipe fadhila.

Labda ukatafute babu wa kizungu.....!
 
Ndio narudi kwenye hoja yako sasa, uzoefu unaonesha beautiful woman wengi hawana complication kwa hiyo unapokuwa na mlolongo wa terms and conditions basi viendane na quality yako, siyo watu wanakesha hapa wengine kumbe ni Mbuta Nanga yupo online

Hahaaaa....nimecheka kwa sauti...unawapa makavu hadi basi
 

You can say That again...
 
Ndio narudi kwenye hoja yako sasa, uzoefu unaonesha beautiful woman wengi hawana complication kwa hiyo unapokuwa na mlolongo wa terms and conditions basi viendane na quality yako, siyo watu wanakesha hapa wengine kumbe ni Mbuta Nanga yupo online

Hahaha..mweeee
 
mbuta nanga huyu huyu wa london? teh teh umenikumbusha leo kavaa chupi imeandikwa "I LOVE YOU EZDEN" yule mdada amechizika wallah.

Hahaha..hebu tutoke nje ya mada kidogo..,mim sielew hivi ni wapenz au??mbona anamchora ezden mwee..had whatsap kamueka profile pic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…