!
!
Novida,mh! tia na kiroba kimoja au viwili halafu kuja pande hii. Ila kiukweli naenjoy kuhonga,mno kuliko hata mitoko.
hizi matipo ID's hizi....!!!!:cool2:
Leo kazi yangu kuhesabu page tu....jamani tumefika page ya nane....ivi watu mnalalaga saangap maana ka kumekucha vile
hao watoto pia wapaswa kufunzwa kuwa na misimamo na wasiyumbishwe, thats it
Kwanza kabla ya kuwa na msimamo una quality hizo?
Kuna wengine anaweza kuwa na msimamo mdogo tu bia za TBL hanywi anataka Heineken au Savanna je una hizo quality za deiwaka aspend na wewe bila roho kumuuma?
Leo kazi yangu kuhesabu page tu....jamani tumefika page ya nane....ivi watu mnalalaga saangap maana ka kumekucha vile
Kwanza kabla ya kuwa na msimamo una quality hizo?
Kuna wengine anaweza kuwa na msimamo mdogo tu bia za TBL hanywi anataka Heineken au Savanna je una hizo quality za deiwaka aspend na wewe bila roho kumuuma?
pamoja sana
Leo kazi yangu kuhesabu page tu....jamani tumefika page ya nane....ivi watu mnalalaga saangap maana ka kumekucha vile
Hapo sasa!
Ndo maana nasema hii misimamo ya kufikirika ni ya changamsha jamvi tu kwa sababu kiuhalisia ukiwa na misimamo kama hiyo hutakuwa na mahusiano mazuri na watu kwa ujumla achilia mbali mahusiano ya kimapenzi.
Tabia za 'umimi' ni recipe ya maafa kwenye mahusiano.
trust me hii si mojawapo