Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.
Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.
Hawa ndiyo BAVICHA.
Siku Molemo akishabikiwa na vibaraka wa Lumumba naomba afukuzwe mara moja chamani.Hakuna kamanda wa kweli anayeweza kushabikiwa na Nguchiro.
Kwa namna ya pekee niwapongeze makamanda wote wa Chadema wanaopigania chama chao dhidi ya vibaka wachache.
Niwatambue kwa uchache
Kamanda Chademakwanza
Kamanda Standalone
Kamanda Crashwise
Kamanda IKWETE
Kamanda Mwita Maranya
Na makamanda wote mlioingia kwenye uzi huu kuumbua vibaraka wa Lumumba.
Always it is Either you are with us or Against us!
Jiangalie jina lako lako na mnachofanya kwenye ufisadi ndio uwabunuasi huonaungana na wewe tu kwa sababu nimechoka kutawaliwa na mkoloni huyu mweusi. ila haibadili ukweli kuwa wewe unatetea tumbo laki. watetezi wataifa hili tuko wachache sana.
haya ndiyo malalamiko yangu,kujenga hoja tunashindwa kwa ajili ya kukurupuka,tulia fikiria kabla hajachukua hatua
Huwezi tukanwa kama wewe si moja wapo wa tusi
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.
Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.
Hawa ndiyo BAVICHA.
Mambo vipi Rosemarie; pole sana rafiki yangu! Samahani nimepitia bandiko lako, sijakuelewa kabisa! Tatizo ni nini? Hoja yako ni ipi? Njoo chumbani kama hutaki kufunguka huku sebureni. Sema sema yote hakuna tatizo.
huyu tahira kweli unalazimisha tuheshimu mavi...
Hatuta bakiza wasaliti ndani ya chamaDr.W.Slaa John Mnyika Josephine Halima Mdee haya ndiyo mliyo mfundisha kamanda aje kujibu hapa? Kamanda ana kitetea chama kweli kweli
Na mwaka huu mtaibishana mpk mkome, mara ACT mara Chadema, mnaandka paragraph 3 hamuelewek, mnatukanana ndo mnataka nchi nyie? Hata kuendesha Mkoa hamjafkia jamani! Kiongozi bora atatoka ccm, trust me.
Huwezi kumueshimu wala haitaji heshima toka kwamafisadi na magenge yaoSijawahi kuona busara yoyote toka kwa mwanachama wa chadema, zaidi ya Jazba na mihemko, na ninajisikia aibu mno kumwona Mtanzania mwenzangu Bwn. Mbowe akiamrisha kikundi cha walinzi, yaani ile heshima iliyokuwepo kidogo kwa huyu mtu ndio imepotea kabisa, hastahili kuheshimiwa tena huyu mtu amepoteza thamani yake mbele yangu.
Sijawahi kuona busara yoyote toka kwa mwanachama wa chadema, zaidi ya Jazba na mihemko, na ninajisikia aibu mno kumwona Mtanzania mwenzangu Bwn. Mbowe akiamrisha kikundi cha walinzi, yaani ile heshima iliyokuwepo kidogo kwa huyu mtu ndio imepotea kabisa, hastahili kuheshimiwa tena huyu mtu amepoteza thamani yake mbele yangu.
Unadhani genge lako la akina laki si pesa, Lizaboni, mamaa Mingoi, Simiyu Yetu ndio mnatukana kidogo!? You are very wrong!
Unadhani genge lako la akina laki si pesa, Lizaboni, mamaa Mingoi, Simiyu Yetu ndio mnatukana kidogo!? You are very wrong!
Hongera rosemarie kwa kusema ukweli wako ndivyo tunavyotakiwa kuwa tusiwe wanafiki tunakihujumu chama ni bora mtu akasema ukweli kukisaidia chama.
Mh. Mwenyekiti tunakoelekea siko Hongera ulikipandisha chati chama kwa miaka 5 iliyopita lakini sasa hivi kimeanza kuporomokaa . Itisha wanachama wa kawaida ukae nao mjadiliane wakueleze wapi pa kurekebisha. sio kukaa na viongozi tu watakupotossha
Dr.W.Slaa John Mnyika Josephine Halima Mdee haya ndiyo mliyo mfundisha kamanda aje kujibu hapa? Kamanda ana kitetea chama kweli kweli