MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!

Hongera sana Rose.
Dr.W.Slaa John Mnyika Josephine Halima Mdee haya ndiyo mliyo mfundisha kamanda aje kujibu hapa? Kamanda ana kitetea chama kweli kweli
Yaani Haujui Ulijiunga Mwaka Gani, Unachojua Ni Myaka Ya 90 Mwanzonzo, Yani Mwezi Wa Kwanza 1990? Au Nimeelewa Vibaya, Msaada Tafadhari Kimaro,
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.
Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.
Hawa ndiyo BAVICHA.
watatokea manabii wa uongo wengi hasa kipindi hiki kama huyu Rosemarie anayejifanya malaika.
Muache utoto JF ni jukwaa huru
na wewe unawakilisha chama hapa jukwaani?hapani siyo chama changu unakurupuka sana
Huyu sawa na nyoka aliye aliyemwagiwa mafuta ya taa shimoni. Nini kimekufanya uchukie kiasi hicho kama kweli wewe ni mwana chadema? Nini kitufanye kuamini kuwa wewe ni mwanachama wa chadema kwa kutumia id fake? Heri ungekaa kimya.. busara au upuuzi wako ungefichika huko!