Msimamo wangu mwaka ujao!

Msimamo wangu mwaka ujao!

Nilivouona mwandiko wako ndio nimekuwa sijambo kidogo, ila pacha si tulikubaliana tuwe tunaagana jamani?

Utaniua kwa mawazo pacha wako! Nikifa kwa kukumiss dhambi zangu zote zinahamia kwako!

Kweli Pacha, siku 'ingine ukiamua kupotea uniage aisee.
 
Mkuu Karia nakupongeza sana. Karibu kwenye jopo letu la wasiochangia wala kukaa kwny vikao vireeeefu vya harusi. Kwa mwendo huu tunaleta maendeleo. Mimi nilifanya gradually, nikaweka flat rate ya kutoa michango ikawa ni elfu 20 tu kwa kila anayenihusu, then imekuwa ni zero mchango sasa.
 
ahsante my dear kumbe kamati zimeshapamba moto hivyo sasa lile gauni vipi mimi kukodi sipendi najua hata wewe dear sasa lini?

Nenda kachague gauni Kampala kesho, ticket iko ready ya Precisionair.
 
ahsante my dear kumbe kamati zimeshapamba moto hivyo sasa lile gauni vipi mimi kukodi sipendi najua hata wewe dear sasa lini?

Twenda kachagua gauni Kampala kesho, ticket ziko ready za Precisionair.
 
Unapita unaenda wapi darling Mamzalendo? niandalie nguo za kesho kwa ajili ya weekend mpenzi.

Nlikuwa naenda kwenye thread ya Ruta Know your limits nilitaka niwape dedication wewe my hubby na Madam B, usiwe na shaka zipo tayari kabisa dear
 
Last edited by a moderator:
Gumu eh gumu eh haya sasa kesi ndio imeanza hivyoo yaani siku moja tu mambo yamekuwa hivi kweli heri watu wasichangie harusi tena ambazo kuna wasiwasi wa kudumu

Usiingilie ndoa ya Madame B & Ruttashobolwa darling
 
Last edited by a moderator:
...aaaah mie ndo hata sitaki kusikia habari za michango.........
 
Back
Top Bottom