Msimamo wangu mwaka ujao!

na ndio maana ni rahisi kwako...wale wasiooa bado wana nidhamu ya uoga kuwa wasipochanga nao watakosa wa kuwachangia...
Swali linakuja kwa nini usijiandae mapema wewe mwenyewe? Tumia hata kama ni miaka miwili au zaidi kutokana na kipato chako uweke malengo yako ya ndoa!
 
Swali linakuja kwa nini usijiandae mapema wewe mwenyewe? Tumia hata kama ni miaka miwili au zaidi kutokana na kipato chako uweke malengo yako ya ndoa!

ni kweli mkuu, waafrika na watanzania wengi hawana huo ufahamu...hilo huendelea hata kwenye familia zao ikiwemo idadi ya watoto...ni ajabu mtu anazaa watoto wengi, wengine anakuambia ilikua ni bahati mbaya khaaa!!
 
huu ulikuwa msimamo wangu toka mwaka 2011 tatizo ni wale wa karibu sana,
ambao ilibidi niwape elfu ishirini tu. na kadi zao pia sitaki wanipe, huku ni kuibiana kweupe.
 
huu ulikuwa msimamo wangu toka mwaka 2011 tatizo ni wale wa karibu sana,
ambao ilibidi niwape elfu ishirini tu. na kadi zao pia sitaki wanipe, huku ni kuibiana kweupe.

unaeza enda kwenye sherehe hata uwepo wako usitambulike, msosi ukanusurika kukosa, halafu wengine ndio hatunywi bia basi ni kunyanyaswa tu unakuta soda, maji au juisi chacheee
 
watu8 tuchange inapolazimu sana, vinginevyo ni kupoteza tu.

unaeza enda kwenye sherehe hata uwepo wako usitambulike, msosi ukanusurika kukosa, halafu wengine ndio hatunywi bia basi ni kunyanyaswa tu unakuta soda, maji au juisi chacheee
 
Last edited by a moderator:
KARIA na Arushaone hayo maamzimio ni mazuri sana
Kuna watu wamezidi siku hizi kipaimara, birthday, sijui graduation mpaka za chekechea wanakuletea card ya mchango
Resolution ilianza kwenye hizo nyingine na harusi mwisho wake ulikuwa mwaka jana
Nitachangia ujenzi wa nyumba za ibado, misiba na elimu sana aise
 
Last edited by a moderator:
Hii ya graduation mpaka ya chekechea kali!

Chekechea umchangie,
Komunio umchangie,
Kipaimara umchangie,
Akimaliza primary umchangie,
Akipasi form two umchangie,
O level umchangie,
A level umchangie,
Akigraduate chuo umchangie,
NDOA tena umchangie!!!!!
 
KARIA akishajua hapa kuna mchango ni balaa atakuletea kadi tuu na huna ujanja
 
Last edited by a moderator:
Yaani Pacha, Pacha yaani, acha tu!! i cant explain nilikumisije.
Hasa katika kipindi hiki kigumu.
.............. Hujambo Pacha?
Nilivouona mwandiko wako ndio nimekuwa sijambo kidogo, ila pacha si tulikubaliana tuwe tunaagana jamani?

Utaniua kwa mawazo pacha wako! Nikifa kwa kukumiss dhambi zangu zote zinahamia kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…