Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Hata mm sina imani na UKAWA!Muundo wa serikali 3 haijathibitika kama tukipata ndiyo tutaondokana na umaskini huu wa kutisha!

UKAWA wanapoteza nafasi adimu ya kuwapa watz katiba yenye mustakabali wao!Rasimu ya Warioba ina vipengele vingi muhimu vitakavyo badilisha maisha ya Watz zaidi ya serikali tatu wanayotaka tuamini ndiyo tiba ya maisha hoe hae ya Mtz!!

Vipengele muhimu ktk rasimu ya Warioba ni:
(1)Tume huru ya uchaguzi
(2)Bunge tu liwe na uwezo wa kupeleka nchi vitani
(3)Majaji wateuliwe na Rais waidhinishwe na Bunge na Rais asiweze tena kuwafukuza
(4) Kufutwa kwa viti maalum vya Ubunge
(5)Pesa za serikali zidhibitiwe na Bunge sio kama sasa Gavana anaipa serikali pesa yyt wakiomba!Madai tajwa hapo juu yana umuhimu mno kurekebishwa now zaidi hata ya muundo wa serikali yetu uweje!

UKAWA eleweni kuwa katiba ni compromise sio kila kitu mnachotaka mtapewa na sio kila kitu CCM wanachopewa watapata!Wapeni CCM serikali 2 na wao wawapeni madai hayo 5 juu mtakuwa na nafasi nzuri ya kuiondoa CCM mwakani!

Bila Tume huru hamuiondoi CCM kwenye sanduku la kura hata iweje!
CC MwanaDiwani Lizabon ifweero Simiyu Yetu

Hizi sasa ni bange za sikukuu ya eid. Kama ccm imeng'ang'ana na serikali mbili, nini kitakachowafanya wakubaliane na hayo mambo uliyoorodhesha hapo juu? Unadhani yana maslahi kwa ccm? Idiotum.
 
Mtu anapotokwa na Uhai lazima Arushe miguu eti! Sasa kama CCM wanaupinga Ukawa kwanini Zitto aukubali?
 
Nilikuwa nawaona UKAWA watu makini kumbe hakuna kitu ni misukule ya Chadema sasa Zitto ana mamlaka gani kwenye hii nchi, mambo yenu ya Chadema mnataka kuyaleta kwenye Katiba.

Wewe shetwani ni lini uliwaona UKAWA watu makini, wakati kila siku huishi kuwaponda. Buku 7 zinawaharibu sana vijana. Usijisahau sana usije ukaliwa kiboga.
 
“Mimi ni mwana CCM, nasema kwa hali hii tutawachapa kweli wapinzani katika uchaguzi ujao… kwa sababu huu Ukawa ni umoja wa paka, paka walikaa siku moja wakasema jamani tuungane, wakachukua kamba wakajifunga mikia ili wawe wamoja, lakini alipotokea panya wote walisambaratika, kwa sababu kila mmoja alikuwa anamtaka panya.Huyu anataka awe Rais wa JMT na mifano yake mfu...inategemea hao paka waliungana kwa MALENGO gani! kama kukamata panya halikuwa lengo la kuungana kwao sasa shida iko wapi panya akitokeza kila mtu akamfukuza kivyake....lakini pia yawezekana kufukuza kila mtu kivyake ikawaongeza chance ya kumkamata Panya kulikuwa wangefunga tela....kama CUF inakubalika Zenj kuliko bara acha ichakaze huko na kama CDM inakubarika bara kuliko Zenj do the same...wote wakiwa bungeni wanaungana kwa kujifunga kamba mikia!!!!!!!!
 
zito ni kijana kwanza anajiheshimu sana,hana makuu siyo kama mbowe na dr.slaa wanapora wake za watu na kutumbua ruzuku ya chama
 
zito amegoma kupokea pesa chafu 450000 toka kwa wafadhili wa nje wanaotaka kuvuruga mchakato wa katiba.
 
Viongozi wa UKAWA wamemuonya Mh.Zitto akae kimya asizungumzie mambo ya UKAWA kwa kuwa hayamhusu.

Kauli hiyo imekuja baada ya Zitto kutoa kauli kuwa hana uhakika kama umoja huo utadumu mpaka uchaguzi 2015.

Zitto ametakiwa aendelee na ubinafsi wake awaache UKAWA wawapiganie wananchi.

Source: Mtanzania.

My Take: Zitto acha chokochoko,huna credibility ya kuwanyooshea Ukawa kidole,kwani wewe ni mbinafsi.

"Zitto na Kafulila ni wala rushwa wakubwa nchi hii" Eliakim Maswi - Katibu mkuu Nishati na Madini

Zitto hana moral authority ya kuutilia shaka muungano wa UKAWA.
 
Eti ndo mpewe nchi? Thubutu!! Si mtamnyonga kila mtu atakayewakosoa! Nyie endeleeni tu kupaza sauti, nchi hamtapewa. Hakuna mtanzania ambaye yuko tayari kuongozwa na Matahira Chadema.
Onyo kwa vijana wa ACT, mmeshamalizana nao.
 
UKAWA wanastahili adhabu kali toka kwa wananchi kwa kukwamisha mchakato wa katiba na kupokea hongo ya 450000 toka wafadhili wa nje
 
Back
Top Bottom