Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

dilemma.jpg
Kaazi kweli kweli!
 
..mbona naona kama Zitto yuko kivyake-vyake?

..hata anapotaja Ukawa anawataja kama "wale" na siyo "sisi."

..kwa mfano anasema "viongozi wa Bunge la Katiba wanawabeza Ukawa..." badala ya kusema "viongozi wa Bunge la Katiba wanatubeza sisi tulioko Ukawa..."

..sasa hii inatoka kwenye written statement ya Zitto ambapo alikuwa na muda wa kutafakari maana ya kile alichoandika.

..pia Ukawa wamefanya mikutano kadhaa mikoani na sidhani kama Zitto amewahi kushiriki mkutano wowote ule.

cc Ndibalema, Haki sawa
Mkuu, kuna sehemu nimeandika kuwa UKAWA inaundwa na wabunge wa Chadema ,CUF na NCCR , sasa yeye ni mbunge wa kudi lipi ama posho ndio zinamfanya anashindwa kujipambanua kwa uwazi , if a nafikiri yuko sahihi aachane na huo Ubunge wa Chadema akafanye issue nyingine , sio Ubunge anataka na hataki kushiriki maamuzi ya wengi anaishia kupwaya tu POPO Ana matatizo makubwa sana
 
Hata mm sina imani na UKAWA!Muundo wa serikali 3 haijathibitika kama tukipata ndiyo tutaondokana na umaskini huu wa kutisha!

Bila Tume huru hamuiondoi CCM kwenye sanduku la kura hata iweje!
CC MwanaDiwani Lizabon ifweero Simiyu Yetu
Ndugu, katiba hii ya 1977 imewapeleka wabunge wa upinzani bungeni na ikawapatia kura wagombea wa nafasi za urais kupitia upinzani.

Kuna baadhi ya watu kama wewe wanadhani mshindi wa Urais kupitia vyama vya upinzani atapatikana kwenye Tume ya Uchaguzi kana kwamba wajumbe wa tume ndiyo wapiga kura.

Chaguzi za hivi karibuni zinachagiza hoja yangu na hasa katika Jimbo la Kalenga ambapo vyama vya upinzani na hasa CHADEMA kilileta vijana mpaka wa kutoka Arusha ili kuwa mawakala katika kila kituo cha kupigia kura na pia kusimamia zoezi zima la kampeni na uchaguzi. Matokeo yake utakuwa unayafahamu.

Rais Kikwete amewapa kwa sasa wapinzani fursa ya kupata kile walichokuwa wanadhani ndiyo ushindi wa kura za Urais; cha kushangaza wanachofanya kwa sasa ni kutoka nje ya ukumbi unaotambuliwa kisheria katika mchakato wa katiba kwa sababu zao za kufikirika.

Kama hawa jamaa wa kikundi kinachojiita UKAWA, wanadhani suala la katiba litawapa umaarufu wa kisiasa nje ya bunge la Katiba basi sishangai kwa sababu huo ndiyo uwezo wao kifikra katika siasa za Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
basi atakuwa na imani na baba yake. huyu mtu tatizo. uchawi uchawi tu kisa ukawa haimwamini.
 
Zitto mchawi mchawi sana...sijui hata tulitoka naye wapi huyu mtu..
 
Umesoma alichosema Zitto kuhusu bunge la katiba kweli wewe! Mi naona umekurupuka kijibu tu, heburudia tena ukiwa huru kabisa kiakili.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Ukawa walipotoka Bungeni na yeye alitoka. Ukawa walipoanza kuzunguka nchi nzima hakuongozana nao. Ukawa haimwamini wala haimtaki Zitto. Asijishaue kuisema vibaya wakati Ukawa wanamwona kama NYESI LA BATA tu
 
Kwa vyovyote vile Zitto ni tofauti sana na Hamad Rashid, Zitto amesema kweli kwamba bungeni kwa sasa ni porojo tu hakuna katiba lakini pia hajaonyeshwa kuchukizwa na UKAWA ila alichokuwa anaomba ni kwamba umoja wa ukawa udumu, angeulizwa Hamad Rashid kwanza angewatukana UKAWA alafu angewataka ukawa warudi kujadili rasimu ya CCM ya Serikali 2.,

Hamad Rashid na Zitto yote ni mapandikizi ya CCM
 
Kwa vyovyote vile Zitto ni tofauti sana na Hamad Rashid, Zitto amesema kweli kwamba bungeni kwa sasa ni porojo tu hakuna katiba lakini pia hajaonyeshwa kuchukizwa na UKAWA ila alichokuwa anaomba ni kwamba umoja wa ukawa udumu, angeulizwa Hamad Rashid kwanza angewatukana UKAWA alafu angewataka ukawa warudi kujadili rasimu ya CCM ya Serikali 2.,

Hata Ukawa hawana imani naye so ngoma droo
 
Ndugu, katiba hii ya 1977 imewapeleka wabunge wa upinzani bungeni na ikawapatia kura wagombea wa nafasi za urais kupitia upinzani.

Kuna baadhi ya watu kama wewe wanadhani mshindi wa Urais kupitia vyama vya upinzani atapatikana kwenye Tume ya Uchaguzi kana kwamba wajumbe wa tume ndiyo wapiga kura.

Chaguzi za hivi karibuni zinachagiza hoja yangu na hasa katika Jimbo la Kalenga ambapo vyama vya upinzani na hasa CHADEMA kilileta vijana mpaka wa kutoka Arusha ili kuwa mawakala katika kila kituo cha kupigia kura na pia kusimamia zoezi zima la kampeni na uchaguzi. Matokeo yake utakuwa unayafahamu.

Rais Kikwete amewapa kwa sasa wapinzani fursa ya kupata kile walichokuwa wanadhani ndiyo ushindi wa kura za Urais; cha kushangaza wanachofanya kwa sasa ni kutoka nje ya ukumbi unaotambuliwa kisheria katika mchakato wa katiba kwa sababu zao za kufikirika.

Kama hawa jamaa wa kikundi kinachojiita UKAWA, wanadhani suala la katiba litawapa umaarufu wa kisiasa nje ya bunge la Katiba basi sishangai kwa sababu huo ndiyo uwezo wao kifikra katika siasa za Tanzania.

Hauwezi ukawa uchaguzi huru kama mmoja wa wagombea(JK)ana uwezo wa mwisho kuhusu hatma ya maafisa wa Tume hiyo hiyo inayosimamia chaguzi anayo shiriki yy JK kama mgombea!

Kama kungekuwa na Tume huru wabunge kama Mketema wa Kilombero angeangushwa na RIP Regia Mtema;Masele wa Shinyanga asingemshinda Shilembi Magadula kwa kura 1;Serukamba alishindwa Kigoma Mjini;Sumbawanga Mwl Yona alishinda na Kyela mwaka 2000 RIP Mwakasumi alimuangusha kwa wazi kabisa Mwakipesile wa CCM na hata Segerea Makongoro alipoteza kwa Mpendazoe to mention few!Lkn kwa Tume hii ya Wakurugenzi kuwajibika kwa wale walio wateua kwa wazi na kwa vurugu wagombea wa CCM walibebwa!!

Wakurugenzi wa Wilaya ndiyo wasimamizi wa uchaguzi mikoani na haijabadilika hata tulipo ingia kwenye vyama vingi!Hatma ya Mkurugenzi ipo mikononi mwa Pinda anayeweza kumfukuza kazi muda wowote ule!

Sociology inasema kuwa anayekupa chakula lzm utafanya kazi zake afurahi yy!Bado hukubali kama jinsi inavyoteuliwa Tume ya uchaguzi TZ ina kasoro kubwa hasa madaraka makubwa ya JK kwa tume hiyo?Ukipinga hili basi MwanaDiwani daaah
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa UKAWA wamemuonya Mh.Zitto akae kimya asizungumzie mambo ya UKAWA kwa kuwa hayamhusu.

Kauli hiyo imekuja baada ya Zitto kutoa kauli kuwa hana uhakika kama umoja huo utadumu mpaka uchaguzi 2015.

Zitto ametakiwa aendelee na ubinafsi wake awaache UKAWA wawapiganie wananchi.

Source: Mtanzania.

My Take: Zitto acha chokochoko,huna credibility ya kuwanyooshea Ukawa kidole,kwani wewe ni mbinafsi.
 
Sasa hapo implication yake nini kamaUkawa haw ataingia Bungeni naye hataingia ama , wewe Umeelewa kinyume ?
Yeye amesema iwapo pande mbili zitakuwa hazijaridhiana hata rudi bungeni, jamani tutulie before doing anything
 
Back
Top Bottom