TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Lakini alichozungumza ni kweli tupu!
kwa kiasi fulani
Lakini alichozungumza ni kweli tupu!
Zito kibaraka wa ccm hana jipya???
Bavicha hoja zimeisha mnaanza matusi nyie viumbe wa ajabu sana watu mkitofautiana nao mawazo mnaanza kuwatukana.Wewe shetwani ni lini uliwaona UKAWA watu makini, wakati kila siku huishi kuwaponda. Buku 7 zinawaharibu sana vijana. Usijisahau sana usije ukaliwa kiboga.
UKAWA unabeba matumaini ya Watanzania. UKAWA unaungwa mkono na Watanzania. UKAWA unaaminiwa na wananchi.
Just a non stater for a come back strategy.
Bavicha hoja zimeisha mnaanza matusi nyie viumbe wa ajabu sana watu mkitofautiana nao mawazo mnaanza kuwatukana.
Bavicha hoja zimeisha mnaanza matusi nyie viumbe wa ajabu sana watu mkitofautiana nao mawazo mnaanza kuwatukana.
Hizi sasa ni bange za sikukuu ya eid. Kama ccm imeng'ang'ana na serikali mbili, nini kitakachowafanya wakubaliane na hayo mambo uliyoorodhesha hapo juu? Unadhani yana maslahi kwa ccm? Idiotum.
Hayo ni maoni yake na familia yake.
Msukule mkubwa huyu,ukawa inamhusu nini,akomae na act mtt wa ccm
mtakufa nyie mtamuacha Zitto akipeta
mbona hawamsifii anapoongea mambo ya msingi?
Zitto mchawi mchawi sana...sijui hata tulitoka naye wapi huyu mtu..
Hawa jamaa wanazidi kujianika. Hawajashika madaraka hawataki waguswe. Kutoa maoni ni haki ya kiraia. Watu wanamsema rais sembuse ukawa?
Ukawa ni genge la wahuni watu ambao hawawaheshimu hata viongozi wa dini na kuwatukana hawafai kuaminiwa tena kwenye kutunga katiba yetu
Watch your language please!!
CCM hawataki serikali 3 basi ndiyo automatical watapinga Tume huru ya uchaguzi na wala majaji wasithibitishwe na Bunge?Nje ya mfumo huu wa Muungano ni ngumu kwa CCM kujipanga na kuendelea kuwepo hai na CCM wanajua wazi watanyang'wanya status ya chama-dola wakikubali serikali 3!
Hoja yangu hapo ni kuwa slowly tuanze na mabadiliko hayo juu ambayo yata facilitate kuiondoka CCM madarakani baadae!!CCM watapinga serikali 3 kwa nguvu zao zote lkn watakuwa soft kwenye mambo mengi ndani ya rasimu na tuchukue advantage hiyo!Tu compromise tuwape wanachotaka na UKAWA isimamie tupate mambo muhimu mengine yaliyoletwa na Mzee Warioba!
Rasimu ya Mzee Warioba ina mambo mengi tu muhimu kwetu zaidi ya muundoi wa serikali
sijui mjumbe wa bunge la katiba anawajibika kwa nani, ila ni principle ile ile kwamba anawajibika kwa Maslahi ya Taifa, wananchi, chama chake and then yeye binafsi. Sijaona wapi ZZk alipoteleza - maana msimamo wake upo dhahiri, hawezi kuingia bungeni iwapo hakuna muafaka - hapo kazungumza yeye na kwa niaba ya kundi linalohitaji muafaka, nakubaliana naye maana rasimu ya katiba haina jambo la idadi ya serikali 3 peke yake tu, hata ukipima muda tuliofikia tume huru ya uchaguzi ni muhimu zaidi kuliko idadi ya serikali-jambo ambalo hata UKAWA wanalihitajiMkuu, kuna sehemu nimeandika kuwa UKAWA inaundwa na wabunge wa Chadema ,CUF na NCCR , sasa yeye ni mbunge wa kudi lipi ama posho ndio zinamfanya anashindwa kujipambanua kwa uwazi , if a nafikiri yuko sahihi aachane na huo Ubunge wa Chadema akafanye issue nyingine , sio Ubunge anataka na hataki kushiriki maamuzi ya wengi anaishia kupwaya tu POPO Ana matatizo makubwa sana
sikuelewa kumbe ukawa siyo ideology na mawazo sawa, ila lazima uwe front kwenye mikutano n.k
pooooa