Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Chadema wanatumia platform ya UKAWA kupambana na Zitto wanazidi kupoteza mweleko UKAWA wanafuata maelekezo kutoka UFIPA hii katiba za ya Mbowe wala Lema muwe makini nyie wapambe wa Mbowe mnaotumwa kuja kufungua uzi JF.
 
Naona umelewa pilau la jana
 
Hii ni kuonyesha sura halisi ya Zitto ya usaliti wa watanzania nilidhani anaugomvi na CHADEMA tu kumbe sivyo. Jamaa anagombana na yeyote ambaye anayaweka masilahi ya ccm shakani!

Zito nendavkajenge act yako ili uweze kufanya uwakala wako wa kuuza watu wajinga kama mchange ila siyo kujaribu kugusa UKAWA. Your playing a loose game brother soon you will realize .
 
Zitto hana tena credibility ya kuongelea masuala yanayohusu mtanzania mnyonge!! Yeye akae kimya afanye harakati zake za kuhakikisha mabwana zake wanabaki madarakani.

Wanyonge tunasemewa na UKAWA kupitia Bunge la katiba. Zitto kaa kimya huna maana kwa sasa!!
 
Zitto inaonekana anawashwa sana kama siyo kuchanganyikiwa. Jamaa mnafiki na adui wa mabadiliko tunayoyataka.

Akae mbali na ukawa yetu shenzi big time!!

Eti ndo mpewe nchi? Thubutu!! Si mtamnyonga kila mtu atakayewakosoa! Nyie endeleeni tu kupaza sauti, nchi hamtapewa. Hakuna mtanzania ambaye yuko tayari kuongozwa na Matahira Chadema.
 
Zitto hana tena credibility ya kuongelea masuala yanayohusu mtanzania mnyonge!! Yeye akae kimya afanye harakati zake za kuhakikisha mabwana zake wanabaki madarakani.

Wanyonge tunasemewa na UKAWA kupitia Bunge la katiba. Zitto kaa kimya huna maana kwa sasa!!

Umenena kamanda acha aendelee na udalali wake wa kuuza watanzania ili baadaye apate ujira kamili.
Maana ameshapoteza uhalali wa kuwasemea watu wanyonge
 
Naona umelewa pilau la jana
Nyie viumbe wa ajabu sana sasa mnataka kuwafunga watu midomo wasiichambue UKAWA.

Wewe unadhani Dr.Slaa atakubali Lipumba kuwa mgombea urais wa UKAWA hata nyie Chadema-Kata hamuwezi kukubali.

Hivyo hivyo na CUF hawawezi kukubali Dr.Slaa kuwa mgombea wa UKAWA huo ndiyo ukweli.

Nilikuwa nawakubali UKAWA lakini walivyotekwa na Chadema basi tena ni majungu tu.
 
Eti ndo mpewe nchi? Thubutu!! Si mtamnyonga kila mtu atakayewakosoa! Nyie endeleeni tu kupaza sauti, nchi hamtapewa. Hakuna mtanzania ambaye yuko tayari kuongozwa na Matahira Chadema.

Usiseme hayuko mtanzania sema mafisadi na wezi hawapo tayari.
Ila wanyonge ambao wameibiwa sana na nyie wapo tayari sana 2010 hukuona pamoja na uchakachuaji CHADEMA tu ilipata kura 2.6m subiri mwakani utaisomanamba
 
Eti ndo mpewe nchi? Thubutu!! Si mtamnyonga kila mtu atakayewakosoa! Nyie endeleeni tu kupaza sauti, nchi hamtapewa. Hakuna mtanzania ambaye yuko tayari kuongozwa na Matahira Chadema.
Unataka tuendelee kutawaliwa na mapromota kama ilivyo sasa?
 
Wale madiwani wa shinyanga wameshatibua dili lote la Zito na ccm sasa hivi najua anajuta lakini hana namna maana ameshasaliti umma na hiyo dhambi itamtesa naam imenza kumtesa na sasa Juliana Shonza amemgeuka live.
 
Nilikuwa nawaona UKAWA watu makini kumbe hakuna kitu ni misukule ya Chadema sasa Zitto ana mamlaka gani kwenye hii nchi, mambo yenu ya Chadema mnataka kuyaleta kwenye Katiba.

Tafadhari soma mada vizuri uone kama upo kwenye mstari
 
Nyie viumbe wa ajabu sana sasa mnataka kuwafunga watu midomo wasiichambue UKAWA.

Wewe unadhani Dr.Slaa atakubali Lipumba kuwa mgombea urais wa UKAWA hata nyie Chadema-Kata hamuwezi kukubali.

Hivyo hivyo na CUF hawawezi kukubali Dr.Slaa kuwa mgombea wa UKAWA huo ndiyo ukweli.

Nilikuwa nawakubali UKAWA lakini walivyotekwa na Chadema basi tena ni majungu tu.

Kwan usipowakubal inaathiri nin mkuu,huo ni mtazamo wako,by tha way Zitto wakati mwingine haeleweki,mtu gani una kauli mbilimbili?
 
Viongozi wa UKAWA au Mbowe ndiyo kasema.

Wacha kiwewe mlomtuma kakwama hana hoja, tafuteni wengine kwani kila hila mfanyayo hampati kitu. Rudini kinyumenyume na toeni mapepo yalowazunguka kama Jakaya mtaalamu anavyoweza.
 
viongozi wa ukawa wamemuonya mh.zitto akae kimya asizungumzie mambo ya ukawa kwa kuwa hayamhusu.kauli hiyo imekuja baada ya zitto kutoa kauli kuwa hana uhakika kama umoja huo utadumu mpaka uchaguzi 2015.zito ametakiwa aendelee na ubinafsi wake awaache ukawa wawapiganie wananchi. Source :mtanzania. My take:zitto acha chokochoko,huna credibility ya kuwanyooshea ukawa kidole,kwani wewe ni mbinafsi
ukweli unauma
 
Back
Top Bottom