Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Ukiona manyoya ujue kashaliwa. Zito yupo katika wakati mgumu mno,ndani ya mwaka huu kampoteza Mama yake na ni mwaka huu huu anajikuta anapoteza haiba yake aliyoijenga kwa jasho na damu na ushirikina mwingi.
Rejea: kauli yake ya "panya".
comments za kimbea, kifo cha mama yake kinahusiana vipi na tamko lake?
 
Zitto anajua anachokisema.Ukawa hawatadumu watasambaratika tu.

JOIN DATE:29th July 2014 KUWA MEMBER WA JF. KIJANA UNATUMIKA KAMA KONDOM KISHA UTATUPWA KAMA AKINA MWAMPAMBA MTELA NA SHONZA JULIANA
 
Samahani mhishimiwa zitto, naomba kuuliza hivi hauungi mkono ukawa lakini unaunga mkono muundo wa serikali tatu, je ni kupitia wapi ccm au act? kila kundi la siasa lina agenda yake kwenye katiba mpya hivyo naomba kujua kundi lako ni lipi.

Pia naunga mkono taadhali ulizotoa kwa wana ukawa hiyo ni changamoto waifanyie kazi ili wasigeuke paka wa mzee makamba uko tegeta.
 
Mkuu sometimes nasoma utetezi wako juu ya huyu mtu nabaki kucheka mwenyewe .....uzuri historia ni kitu kinachoishi .....muda utaongea ......😛eep:


ha ha haaa. mnachotaka nyie ni Zitto aseme yko UKAWA hata kama kimantiki yuko ukawa ila hataki kusema yuko ukawa?? kwangu mimi alichosema zitto ndicho msimamo wa ukawa!!
 
..YES, ni zaidi ya kukubaliana na mawazo na msimamo wa Ukawa.

..ni lazima mhusika ashiriki shughuli za Ukawa kama mikutano, pamoja na kuutetea na kuutangaza msimamo wa Ukawa kwa wananchi.

..binafsi simlaumu Zitto kwa kutokuwepo ktk Ukawa. Zitto ana uhuru wa kuwepo au kutokuwepo ktk ukawa.

cc MTAZAMO

kumbe...nimekupata
 
Dogo
Mimi na babako tunachangia kumtafuna mamako. Mmoja mbele; mwingine nyuma. Mie babako wa kambo. Sipo kundi la vijana.
Hawa ndiyo wafuasi wa Chadema wanaotaka watanzania tuwape dola watuongoze.
 
Wewe shetwani ni lini uliwaona UKAWA watu makini, wakati kila siku huishi kuwaponda. Buku 7 zinawaharibu sana vijana. Usijisahau sana usije ukaliwa kiboga.
Hivi kamanda hauna tusi jipya? nakupa offer ukija na tusi jipya nakupa dola 200 cash serious.
 
Mkuu ulichosema ni kweli lakini kwa sababu ya wingi wao CCM hata hayo mambo wakiamua kuyakataa wanaweza...UKAWA hawezi kuwa na nguvu za kuwazuia...

Well said mkuu!
CCM hawawezi kubali serikali 3 kwa sasa maana hawajajiandaa!Wanachotakiw akufanya UKAWA ni kuwaachia serikali 3 nao kuweka madai yao hasa la Tume huru ya uchaguzi badae UKAWA wakiingiza wabunge wengi Dodoma sasa watakuwa na uwezo wa kudai serikali 3

Kwa hali ya sasa CCM ina wajumbe wengi ndani ya katiba na kila uamuzi Bungeni pale unafanyika kw anjia ya kura,sijaoa kura za kutosha kwa UKAWA kupitisha serikali 3
 
ndiyo huyu huyu, anatamba kwamba list anatembea nayo mfukoni - ati muda muafaka ukifika ataiweka hadharani - nafikiri tuwe na subira sasa sina uhakika mpaka lini.



Huo muda muafaka kwake ndiyo huu kwani ameshaishiwa kisiasa ilichobaki ni jina tu. Nani ana habari na Zitto kwa sasa, hakuna anayemjali hata na hao magamba walimchezea na sasa wanamcheka kama vile zoba fulani. Kwa kweli kijana ebola anasikitisha.
 
Jioni ikifika tutawaona hao Ukawa,maana bado mchana,Zitto umena,nakukubali sana huwa ukurupuki kuongea,wallitaka wakusikie tayari wamekuelewa.
 
Mkiisoma bila ya chuki wala jazba kauli ya Zitto nadhani ni rahisi sana kumuelewa.......sioni tatizo kwenye kauli yake kabisa.Tena ukisoma kwa makini zaidi utaona ana element za Ukawa ingawa baadhi tu anatofautiana nao na ndo maana anaonekana yupo neutral na hata baadhi ya wajumbe toka ukawa wapo hivyo ila wanahofia kufukuzwa ktk vyama vyao tofauti na Zitto ambae yupo kwa nguvu ya mahakama.
 
Zitto jiunge tu na ccm alafu je twambie tujue unarudi bungeni kungana na wajumbe wa ccm au hurudi?
 
comments za kimbea, kifo cha mama yake kinahusiana vipi na tamko lake?

Hoja yang ni kwamba Zito unapita katika wakati mgumu na imeorodhesha matukio! Asipoangalia atapotea kabisa,sasa umbea wangu upo wapi? Punguza mihemko
 
Yes he will always prevail through accepting bribes from CCM to kill opposition. He will always prevail and lead the union of Tanzanian Traitors!! Zitto the leader of Association and Coordination of Traitors ACT!! RIP
hahahahahahaaaaaaa. losers will always cry as babies. chaga boys kaeni na ujambazi wenu na utapeli. siasa zinahitaji uadilifu na ZZK anazo sifa zote za uongozi. mpaka december mwakani mtakuwa hooooooooooiiiiiiii
 
kumbe...nimekupata

..asante.

..kuna waliomnukuu toka kwenye kipindi cha TV akisema kwamba yeye siyo Ukawa, ingawa anakubaliana na hoja zilizowalazimisha kutoka bungeni.

..pia akapendekeza muundo wa serikali 3, wenye Raisi anayeongoza serikali ya muungano, na mawaziri wakuu wanaoongoza serikali za Tanganyika na Zanzibar.
 
hahahahahahaaaaaaa. losers will always cry as babies. chaga boys kaeni na ujambazi wenu na utapeli. siasa zinahitaji uadilifu na ZZK anazo sifa zote za uongozi. mpaka december mwakani mtakuwa hooooooooooiiiiiiii
Over Tz dead bodies can a traitor lead!! one mistake was done in the year 2005 NO MOOOORE! Zile hela za Jack zoka wa TISS bado anagawa eh!! wewe ----------- bei gani!! maanake wengine mshakuwa mafungu ya nyanya sokoni!! Oh my TZ!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom