Uenyekiti wa chadema ni sumu ambayo haionjwi kwa ulimi ~~~~~ Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kuona tofauti kama kusoma umeshindwa.Kwani wewe unatofauti gani na shetani mkuu?
wanazuga tuNa wao huenda kutubu dhambi zao 🤳
Setano akantolamo siku KyalaMkuu naona kama siasa zinakupeleka pabaya.
Tawala zote toka enzi na enzi zina tabia hyo, soma vzr tawala za kidini, zile za kifalme n.k.
Watu waliuliwa, waliwekwa vizuizini.
Ukianza kuzama kwenye siasa kiasi cha kuacha mambo mengne utajikuta bakyumyandile ikyuma kyako kyosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa kubwa sana kudhani unawafahamu watu hapa jfUisilamu umetoka lini?
Siyo kukufahamu bali nakujua kabisa!Ni kosa kubwa sana kudhani unawafahamu watu hapa jf
Tuheshimu misimamo ya wengine
GOOD RIDDANCE...Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.
Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji husali pia, nimeamua kujiondoa kwa hofu ya kumchukiza Mungu kwa kushirikiana madhabau na wanaonyooshewa vidole na wananchi huku kanisa langu na viongozi wake wakinyamazia, natambua kwamba dhambi ya kushirikiana na wenye tuhuma hizi itanikabili mimi binafsi mbele za Mungu bila Mchungaji au baba Paroko kunisaidia, najua wapo wanaosema nisali kwa ajili ya Mungu na si kwa ajili ya binadamu, lakini wamesahau kujiuliza kwanini maeneo matakatifu kama makanisa yalianzishwa.
Sitashiriki misa kwenye kanisa linalonyamazia dhambi kwa sababu MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Nobody gives a fuxck. Halafu una tabia za kike wewe.Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.
Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji husali pia, nimeamua kujiondoa kwa hofu ya kumchukiza Mungu kwa kushirikiana madhabau na wanaonyooshewa vidole na wananchi huku kanisa langu na viongozi wake wakinyamazia, natambua kwamba dhambi ya kushirikiana na wenye tuhuma hizi itanikabili mimi binafsi mbele za Mungu bila Mchungaji au baba Paroko kunisaidia, najua wapo wanaosema nisali kwa ajili ya Mungu na si kwa ajili ya binadamu, lakini wamesahau kujiuliza kwanini maeneo matakatifu kama makanisa yalianzishwa.
Sitashiriki misa kwenye kanisa linalonyamazia dhambi kwa sababu MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
kumbuka kwamba mamaako si wa kiume , hoja hujibiwa kwa hoja tuNobod
Nobody gives a fuxck. Halafu una tabia za kike wewe.
Unategemeaje kila mtu akubaliane na yaliyomo kwenye ubongo/utashi wako? Bora uanzishe kanisa lako, au bora zaidi, dini yako.kumbuka kwamba mamaako si wa kiume , hoja hujibiwa kwa hoja tu
Msimamo wangu ni huo huo na wala hautabadilikaUnategemeaje kila mtu akubaliane na yaliyomo kwenye ubongo/utashi wako? Bora uanzishe kanisa lako, au bora zaidi, dini yako.
Unaenda kanisani kumtafuta nani??? Kumtafuta Mungu au mahubiri ya kutekwa?Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.