Msimamo: Sitashiriki Misa ya Christmas kwenye kanisa ninalolishiriki miaka yote kwa vile halipigi vita utekaji

Mkuu naona kama siasa zinakupeleka pabaya.

Tawala zote toka enzi na enzi zina tabia hyo, soma vzr tawala za kidini, zile za kifalme n.k.

Watu waliuliwa, waliwekwa vizuizini.
Ukianza kuzama kwenye siasa kiasi cha kuacha mambo mengne utajikuta bakyumyandile ikyuma kyako kyosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Setano akantolamo siku Kyala
 
Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.

Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji husali pia, nimeamua kujiondoa kwa hofu ya kumchukiza Mungu kwa kushirikiana madhabau na wanaonyooshewa vidole na wananchi huku kanisa langu na viongozi wake wakinyamazia, natambua kwamba dhambi ya kushirikiana na wenye tuhuma hizi itanikabili mimi binafsi mbele za Mungu bila Mchungaji au baba Paroko kunisaidia, najua wapo wanaosema nisali kwa ajili ya Mungu na si kwa ajili ya binadamu, lakini wamesahau kujiuliza kwanini maeneo matakatifu kama makanisa yalianzishwa.

Sitashiriki misa kwenye kanisa linalonyamazia dhambi kwa sababu MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
GOOD RIDDANCE...
 
Nobod

Nobody gives a fuxck. Halafu una tabia za kike wewe.
 
Unaenda kanisani kumtafuta nani??? Kumtafuta Mungu au mahubiri ya kutekwa?
Kilichokupeleka kanisa ni nini? Ni imani au matakwa yako?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom