Msikiti wa posta na ubaguzi??

ukishaona neno "fulani" kwenye stori ujue ni uongo.
 
Weka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.
Tatizo huo msikiti wa Mashia sasa ukiwa Sunni utawezaje kwenda kusali msikitini wa mashia? Ndio maana mleta mada akasema msikiti wa weupe(shia) na weusi hawaruhusiwi.
 
So why quote me?

How do you have an answer if what you write is beside the question in the first place?
Mkuu Kiranga wewe huamini Mungu lakini kila mada ya dini lazima ukuwepo hivi unaweza kuniambia kwanini?
 
Mkuu Kiranga wewe huamini Mungu lakini kila mada ya dini lazima ukuwepo hivi unaweza kuniambia kwanini?
Nikikwambia kwa sababu siamini Mungu utasemaje.

Kila mada ya dini JF unaifuatilia?
 
So why quote me?

How do you have an answer if what you write is beside the question in the first place?

Then why answer me?
How do you have a question if what you write is beside the answer in the first place?
 
Then why answer me?
How do you have a question if what you write is beside the answer in the first place?
Apparently your sense of chronology is warped up.

You started to quote me, not the other way around.
 
We msikitini,je maofisini husemi makabila,na senior kazini,lkn MTU hawezi na anaharibu kazi
 
Hakuna ushia wa kihindi na wa kiafrika,in that case hakuna msikiti wa kihindi na wa kiafrika ,ndiyo maana ukenda msikiti wowote wa shia utaona watu mchanganyiko wakiswali,hata masunni pia wanaswali humo ingawa kuna baadhi ya watu wanajishtukia
Hakuna sunni anayeswali kwa hawa waliopotoka ,nani aswali kwa hawa mabohora wanaswali tofauti wanavunja sheria ,hata siku ya ijumaa ikifika na nikiwa mitaa ya Hindu kule siwezi kuingia kuswal ntatembea umbali mrefu nitafute mahala pengine ,shia Tanzania hakuna ,wapo asilimia 1 walionunuliwa
 
Nikikwambia kwa sababu siamini Mungu utasemaje.

Kila mada ya dini JF unaifuatilia?
Ninajua huamini Mungu kwa mujibu wa maongezi yako hapa jf hilo najua sitaki kujua kwanini nishajua kwanini. Suala langu kwanini mada nyingi za jf zinazoongelea dini lazima uwepo na wewe huamini uwepo wa Mungu?
 
Hebu uwe unasoma unachoandika kabla hujapost ili kupunguza logical contradictions. Itakusaidia pia kuacha kuja na conclusion ambayo haina premises,
We wamlazimisha Mungu asafishe viatu kwa kuwa ana uwezo huo, ila hujui kuwa kuwa na uwezo sio the only reason ya kufanya kitu
We una Fanya kila ambalo una uwezo wa kulifanya?
Then unakuja na theories za evils, wala si mada yetu...mada yetu ni kuvua viatu msikitini ambapo umeshaelewa kuwa kuvua viatu hakuna lengo la kumbagua asiyetaka kuvua, anaweza kuingia na viatu vyake kama atataka.
Theories za Evils nitakufundisha
 
Unaijua logical contradiction?

Logical contradiction ni vitu vinapopingana.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sabbu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Mungu huyu ni mtakatifu, kwa nini aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Mungu huyu akiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, hiyo ndiyo logical contradiction.

Hjaitatua logical contradiction hiyo.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?

Hjajibu swali hili.
 
Umeanza kuelewa mada ya viatu. umeiacha umekuja na mada ya evils.
 
haitotokea duniani mtu akazuiwa kuingia ndani ya msikiti kwa sababu ya rangi yake!
mind you, zipo dini nyingine hapa Tanzania nyumba zake za ibada huitwa misikiti!
kwa tabia za waislam watanzania, ipo baadhi ya misikiti watu hawaendi, hasa ile yenye kumilikiwa na watu wenye asili ya kihindi, kwetu weusi huwa ngumu kuelewa kama wana swali/sali kama sisi so huwa watu wanaingia wenyewe mitini!
 
Kwa maana hiyo hata hao wataalamu nao watakuwa wana tatizo hilohilo pia.

Ila kumbuka kuwa una matatizo ya kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…