Msikilizeni Zitto Star TV

Kwa kuendelea kumfanyia promo zzk sasa hiyo channel yenu tutaisusa kama tbc na mawingu tv mtabaki kuonyesha mikutano ya ccm tu pale nyamagana
Kamanda, ule msemo wa ukisusa weye wenzio twala waujua?

Si ajabu wewe pia unampa promo bila kujijua.
 
Mkuu inawezekana wewe ni mtanzania unaye ishi somalia au kwa burundi kusiko na nafasi ya kujitafutia habari kupitia njia mbali mbali..pole sana kiongozi wangu kwa kutolijua hilo.
 
Mimi nadhani heri kumfuata Mbowe blindly kuliko kuipa CM mwanya wa kupumua. Ana mapugufu yake lakinii Siasa Tanzania imechangamka lkwa sabu ya uimara wa huyu Jamaa. Kama si uimara wa Mbowe chadema leo ingekuwa historia! Kama hutaki kajinyonge!

Mkuu atakuwa amekuelewa na kama hakukuelewa badi huyo ni mhamiaji haramu
 
Mimi nadhani heri kumfuata Mbowe blindly kuliko kuipa CM mwanya wa kupumua. Ana mapugufu yake lakinii Siasa Tanzania imechangamka lkwa sabu ya uimara wa huyu Jamaa. Kama si uimara wa Mbowe chadema leo ingekuwa historia! Kama hutaki kajinyonge!

100%!! absolutely true
 
Umedandia mjadala usiokuhusu.Angalia tulipotokea utaelewa tunachokijadili hapa.
 
wabongo bana,wanataka kusikia nyimbo tamu tu.za huzuni hawataki.ungekuwa unajua mission ya Zito ungemkubali Kubenea.
Hakuna mtu anayependa kusikia mazuri tu.Aandike masuala amma watu kwa facts siyo chuki,jazba na udaku.Ametoka kumlipa pinda kwa ujinga huohuo
 
Act wnaweza kumwita Mbowe Nkurunzinza lakini huwezi kumwaita Zitto --------- A-yatollah Al Khameney

Hawa jf wata ban members watafanya nini lkn hawataweza kuingiza nguvu zao hizo ktk sanduku la kupigia kura kwa nguvu zao hizo za kutupiga ban
 
Jamani najaribu kutafakari, kwani kuna uhusiano gani kati zitto na Jf management, maana kama kuna adhabu zinatolewa kila akizungumziwa zzk negatively:
; Jamani lifanyieni kazi hili @Mod this isn't fair plzz
 
Kumbe ww unaonekana ni mfuata watu, we are much concerned with party's Policies sio utoto wenu wa kuigiza cdm mchana usiku mko na ccm kupanga hujuma
 
ZITO hana jipya zaidi amejificha kwenye koti la udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…