Msikilizeni Zitto Star TV

Zitto ayatoll.a.h,ye ndo mweka hazina,ye ndo mlinzi,ye ndo meneja,ye ndo mkurugenzi,ye ndo reception,ye ndo mapokezi,ye ndo mtu wa manunuzi,jamaa ndo kila kitu
 
I was dying to hear that,,,Asambaze mauzalendo tu
 

Maneno haya akisema mwana chadema anaitwa msaliti, team allayatolah mara sijui CCM B, yaani kazi ni kubwa sana.

Mi nasema, watu tuna mdis sana zitto, but ndio kiongozi pekee ambae mwananchi wa kawaida ambae ni mwerevu anaweza jifunza mambo mengi sana. Ambayo sio ubabaishaji, bali ni ukweli kabisa.

Basi tuulize, Ukiacha na Zitto, ni kiongozi gani aliewahi kuandika chochote cha maana kuhusu sh. Kupuromika dhamani?

Badala ya ku pick ya Msingi na kupuuza ujinga mwingine usio na madhara, watu wanakalia kuimba Msaliti, Msaliti...

Kwanini tunakosa rational thinking?
 
Keshapewa Hela Na Bos Wake, Aje Mbeya Tunamsubili.
 
Hivi cha Rafiki cha ACT hapa nchini ni Chama gani? maana mnasema mna vyama rAfiki ndani na nje?

Ziara ya mikoa 17 ina maana ataanza upya alikopita?
 
Hii mada imejaa utumbo fully utazani wote tunatazama tv
Hivi mtu akija kuifukua hii mada baada ya mwaka atajua kilichojadiliwa?
What kinds of GT ARE U??

Kwani wewe umejadili nini!
 
ayatwallah ana hangaika sana atakufa kwa uchawi wallahi
 
VUA GAMBA, VUA GANDWA VAA UZALENDO. Kauli mbiu ya ACT hyo.
 
Na hakuna atakaye kulaumu kwa msimamo wako sababu ndo uwezo wako wa kufikiri ulipokomea. Udhaifu wa report ya PAC kuhusu sakata la escrow hauwezi kuhafifisha umakini wa ZZK katika masuala ya uchumi.

We kalaga baho!
Amepoteza hata ile heshima ndogo na credibility aliyokuwa nayo kwangu.I am very principled man,I don't worship people sheepishly but I respect people especially those ones who are honest.Zitto had been and will always be a dishonest politician.
 
asafiri hata mikoa36 ya bara na visiwani hata shetani anazunguka sana kupata wafuasi
 
mikoa au Miji? Mkoa wa Ruvuma una wilaya na majimbo kadhaa ya uchaguzi sasa ayatullah anazuru songea mjini anasema amezuru mkoa wa Ruvuma!

hili jina la Kiongozi Mkuu Ayatooollah Zitto linanipa ban sana
 
Katika thread moja wiki zilizopita alieleza sababu za kushuka kwa sarafu yetu hakutaja escrow , katika comment zangu nilitaja escrow kama sababu muhimu katika hilo sakata. Gazeti la leo mtanzania linaeleza gavana kaitaje escrow kama sabau kuu kwa namana ya kunyimwa misaada lakini kuna sababu ya pili niliitaja ambayo watu wanaionea aibu yaani kuingizwa fedha nyingi kwenye mzunguko kupitia sandarusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…