Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Wizara kama Yako Mama ni uti wa mgongo maendeleo ya Nchi kwa sababu hakuna maendeleo bila watu makini ambao watafanya uazalishaji kwa kufanya kazi.
Sasa watu wote wakipotelea kwenye ulevi na kamali Kuna kazi itafika hapo?
 
Kwa sasa huwezi kunielewa
 
Hatarii,Serikali inafungia taasisi ya kidini ,Mama anakuja kuzindua jengo la taasisi ya kidini,Mawaziri wanatuelekeza kuwa kutumia vitabu vya Dini,

Mwaka huu tutachanganyikiwa sisi
Hayo mambo yako wizara ya mambo ya ndani, we kinachokusumbua ni husda kwa waziri wetu na uchawi.
 
Hapa ilibidi waweke Safari channel badala ya movie za waganga
 
Nipe chako kwaza cha ustawi wa jamii, 😜😜

Alafu Naona kama hurudi tena wewe kwenye baraza😜😜
We ndio umemteua? sisi tunamwombea awe angalau naibu waziri mkuu km siyo waziri mkuu. Huyu mama tangia kipindi cha Magu akiwa waziri wa Afya alikuwa jembe
 
Ulete na takwimu za ushoga.
Sina shaka kwenye kipindi Chako ndio Kuna ongezeko kubwa la mashoga na wanaoneka hadharani kabisa !!
Hakuna maendeleo ya jamii kama Kuna ushoga.

Usijibanze hapo tu kwenye ukatili wa watoto na hizo tafiti zako za kupikwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa na wewe ulitakiwa kujua kuwa, mwenye dhamana ya maadili ni wizara ya utamaduni. Kuwa bingwa wa kutoa maoni inahitaji pia ujue unafikisha maoni wapi? mashariki au kusini, vinginevyo, ni sawa na kwenda vitani na AK47 ila hujui target ya adui, unabonyeza bonyeza tu button mradi zifyatuke usababishe milio, adui atakupiga tu tena konzi uzimie na silaha yako. Hapa ndiyo watoa maoni wengi mnafeli sana.
 
Na wewe pia, kila nikienda kwenye kurasa za wizara zenye dhamana na maeneo husika sioni haya maoni na ushauri. Nagundua tu kuwa, ama hamfahamu vema wapi pa kufikisha maoni haya au basi tu hamtaki kuona mimi na breathe 😆 kwa kuhakikisha kila changamoto mna connect na wizara hii ya Maendeleo ya jamii. Kwa utaratibu huu, mtatoa maoni kila siku na mimi sasa nitaanza kuwatazama tu napita hivi...... 😷 . Iwapo dhamira ni njema, basi iendane na kufahamu wapi pa kufikisha sauti gani kwa ufanisi zaidi... Ahsante sana
 
We una ndizi mkunduni, uwe na adabu kwa waziri wetu mpendwa, njoo na ID halisi siyo km msukule ulivyo sasa. Sasa Kibwengo km wewe nani anakujua, halafu jitambue siwezi kuwa na adabu km msukule mburukenge km ww
Haya bwana,matusi Sio itikadi zangu.
 
Ina maana mpaka leo hujui cha kufanya kuhusu mmomonyoko wa maadili unasubiri mpaka waziri aje akuelekeze cha kufanya? Kazi tunayo kwa kizazi hiki!
 
Wizara kama Yako Mama ni uti wa mgongo maendeleo ya Nchi kwa sababu hakuna maendeleo bila watu makini ambao watafanya uazalishaji kwa kufanya kazi.
Sasa watu wote wakipotelea kwenye ulevi na kamali Kuna kazi itafika hapo?
Hayo maendeleo ya jamii yana nyenzo mbalimbali zenye mikono mbalimbali. Sasa vitani ukibeba nyenzo moja tu ya bunduki, ukafika mtoni hakuna daraja wala mtumbwi wa kuvuka, bunduki yako inakusaidiaje? Maendeleo ya jamii ni pamoja na sekta zote kwa ujumla wake siyo moja. Hata elimu, kilimo, sheria, uchumi, kazi na ajira, Utamaduni, sanaa nk zote. Ukielewa dhana hii, utajua jinsi ya ku balance emotions zako kwenye maoni na ushauri na direction ya maoni na ushauri. Vinginevyo, utajikuta wewe mwenyewe vinakuchanganya.
 
Salaam. Tumia muda huu ambapo, bado nipo, nipe ushirikiano tafadhali tufanyie kazi. Kurudi au kutorudi ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila kikubwa, mimi pia bado ni mtumishi wa umma sijastaafu hivyo, Mungu atajua nikatumike wapi. Pia simu yangu ni 0765 345777 (andika sms tafadhali) iwapo kuna taarifa za kuficha ili wasishtuke tuwadake kimya kimya.
 
Lete cheti chako cha kusoma chuo cha ustawi wa jamii kwanza kabla ya kurejea majukumu yake kwa kufuata upepo wa online rafiki🙆
Siyo upepo wa online kwani hujawahi kusikia kutekwa Kwa kina mdude au soka au kibao , aaaaaaah acha unafiki wewe ugali uwkiuendekeza saana unukupunguzia heshma kaka. kama una miaka arubaini juwa umebakiz ishirini na sababa tuu Kwa ahadi za Mungu mwenyewe mwili hauna kazi Tena huo kaka , una yasogelea marejeo ya muumba wako uzee siyo kitu RAHISI saana. Ukishindwa kuhubiri injili basi hubiri hata Haki mkuu.
 
Mh Waziri wewe ndo tunakufikishia maoni direct bila kificho chochote hii ni kwa sababu mawaziri wengine au idara zingine hawana muda na sisi kama wewe hivi unavyojibu maoni na mawazo yetu bila kuangalia nani kasema.

Hao wengine hatuwaoni kabisa. Pia wewe una nafasi kubwa sana ya kukaa na waziri wa idara husika na kumwambia maoni haya tuyayatoa kwako kama wewe wizara yako haiuhusiani nayo.

Zaidi ya yote tunapokupongeza basi ukubali na tunapokukosoa na kwa sababu hii ndio maana wizara yako inafanya vyema.


Kama hizi betting hazikuhusu tunakuomba utuitie waziri wa wizara husika tufanye interview naye hapa uzi upandishwe Live tumwambie changamoto zote hapa hapa.

Ahsante sana
 
Salaam, kwenye safari ya uongozi, kukubalika na kutokubalika ni vipindi pacha. Halafu huwakumba wengi Sana kama siyo wote tu ikiwemo mitume wa Mwenyezi Mungu mwenyewe maana, wengine walisulubishwa, wakauliwa mauaji ya aina mbalimbali ila, baade tena wanadamu wale wale wakageuka kupokea na kusimulia matendo yao makuu. Hata wewe, ukiwa kiongozi, vipindi hivi vitakukuta tu cha msingi, simama kwenye mstari unaoamini huu nina sababu nao kisha, ungoje wakati. Ahsante sana, tuendelee kushirikiana daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…