Watu hebu tuache ujinga! Hivi tunafikri kila kitu kinachoigusa jamii kinasimamiwa na wizara ya maendeleo ya jamii? Hebu tuache hizo. Mizazi yenyewe tumekuwa mipumbavu tumeshindwa kusimamia familia zetu ndiyo tunataka tuivike wizara mizigo ambayo siyo yake! Hebu kila mwenye familia yake ajiulize amefanya nini kuzuia mmomonyoko wa maadili katika familia yake? Naungana na wizara imefanya kwa uwezo wake mengine Sisi wenyewe tumalizie haitakuja itokee shida zote hizi zikamalizwa na wizara moja!Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu
Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.
Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.
Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.
"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
Hebu tuache hizo, unataka wizara ya maendeleo ya jamii izuie utekaji? Hakika wapinzani tumekosa heshima na hekima! Wizara moja haiwezi kufanya kila kitu. Ubakaji uko chini ya wizara yake lazima anapambana nao lakini utekaji uko wizara ya mambo ya ndani tukawahoji hao!Basi Nijibu wanaotekwa ni jamii ipi na wanaobakwa ni jamii ipi.
Alafu ukimaliza,niambia kubakwa na kutekwa kipi kibaya zaidi.😂😂
Bora wananchi wengine mseme wenyewe maana, mimi nikisema zaidi mimi naweza kuwachanganya wengine.Watu hebu tuache ujinga! Hivi tunafikri kila kitu kinachoigusa jamii kinasimamiwa na wizara ya maendeleo ya jamii? Hebu tuache hizo. Mizazi yenyewe tumekuwa mipumbavu tumeshindwa kusimamia familia zetu ndiyo tunataka tuivike wizara mizigo ambayo siyo yake! Hebu kila mwenye familia yake ajiulize amefanya nini kuzuia mmomonyoko wa maadili katika familia yake? Naungana na wizara imefanya kwa uwezo wake mengine Sisi wenyewe tumalizie haitakuja itokee shida zote hizi zikamalizwa na wizara moja!
Mkuu kweli huoni nafasi ya serikali kuchangia mmomonyoko maadili ?Watu hebu tuache ujinga! Hivi tunafikri kila kitu kinachoigusa jamii kinasimamiwa na wizara ya maendeleo ya jamii? Hebu tuache hizo. Mizazi yenyewe tumekuwa mipumbavu tumeshindwa kusimamia familia zetu ndiyo tunataka tuivike wizara mizigo ambayo siyo yake! Hebu kila mwenye familia yake ajiulize amefanya nini kuzuia mmomonyoko wa maadili katika familia yake? Naungana na wizara imefanya kwa uwezo wake mengine Sisi wenyewe tumalizie haitakuja itokee shida zote hizi zikamalizwa na wizara moja!
Uliwahi kuingia ukurasa wa wizara ya habari, Utamaduni, Sanaa na michezo ukatoa maoni? Maana huko ndiyo kuna dhamana ya hayo yote. Naona changamoto ya wengi kujua wapi maoni yake yaende kwa usahihi zaidiMkuu kweli huoni nafasi ya serikali kuchangia mmomonyoko maadili ?
Ngoja tu nikupe
Mfano mdogo sana kwenye maisha yetu ya kwaida,,
Mfano, Mzazi nitajitahidi kumuelekeza mtoto asiangalie vipindi vya ajabuajabu kwenye tv, atakuelewa.
Ila watoto ni wadadisi kama kawaia Yao, ,, atakuiliza kwani Baba/Mama vipi vya maana ni kama vipi!?
Utamtajia vipindi kadhaa ikiwemo taarifa ya habari.
Hapo kama Mzazi ume-play part Yako.
Muda WA habari ukifika ndio tunakutana na tangazo la Pombe au kamali.....hapa ndipo nafasi ya serikali ilipaswa kuingia. Hapa ndipo panahitajia viongozi wenye jicho la mbali Kuona jamii inavyoharibika.
Kwa sababu kitu chochote kinachongia kwenye ubongo WA Mtu mara kwa mara,, hakawii kukifanya.(Scientific proved)
Lakini serikali inajali Kodi tu bila kujali chanzo gani Cha mapato.,,,kwanini msiwe na Taifa lenye laana.
Ni sawa lakini ninachopinga ni kule kuilaumu wizara ya maendeleo ya jamii kama yenyewe ndiyo inahusika na kila kitu. Hebu na sisi raia tujiulize huko uswahilini kwetu ni mara ngapi tumekuwa na vikao vya mtaa kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii? Au tunasubiri wizara ije itusaidie kuongea? Je, tumewahi kulizingumza hilo la betting na Pombe kwenye mitaa yetu tukaeleweshana madhara yake?Mkuu kweli huoni nafasi ya serikali kuchangia mmomonyoko maadili ?
Ngoja tu nikupe
Mfano mdogo sana kwenye maisha yetu ya kwaida,,
Mfano, Mzazi nitajitahidi kumuelekeza mtoto asiangalie vipindi vya ajabuajabu kwenye tv, atakuelewa.
Ila watoto ni wadadisi kama kawaia Yao, ,, atakuiliza kwani Baba/Mama vipi vya maana ni kama vipi!?
Utamtajia vipindi kadhaa ikiwemo taarifa ya habari.
Hapo kama Mzazi ume-play part Yako.
Muda WA habari ukifika ndio tunakutana na tangazo la Pombe au kamali.....hapa ndipo nafasi ya serikali ilipaswa kuingia. Hapa ndipo panahitajia viongozi wenye jicho la mbali Kuona jamii inavyoharibika.
Kwa sababu kitu chochote kinachongia kwenye ubongo WA Mtu mara kwa mara,, hakawii kukifanya.(Scientific proved)
Lakini serikali inajali Kodi tu bila kujali chanzo gani Cha mapato.,,,kwanini msiwe na Taifa lenye laana.
Uko sahihi kabisa. Watoa maoni wangekuwa waungwana kujua nafasi ya jamii yenyewe na nafasi ya kila Wizara, hakika, maoni yao yangeongeza thamani ya mchango kwenye kila wizara. Ila sasa, wanajisahaulisha, wakidhani eti, ndiyo kutakuwa na tija, kumbe haitakuwepo kwani, wote ni wahusika kila watu au mtu na nafasi yake. Hii sasa ndiyo kugeuza ajenda ya watu wote kuwa ya mtu. Mitazamo aina hii huleta changamoto zaidi kuliko ufumbuzi.Ni sawa lakini ninachopinga ni kule kuilaumu wizara ya maendeleo ya jamii kama yenyewe ndiyo inahusika na kila kitu. Hebu na sisi raia tujiulize huko uswahilini kwetu ni mara ngapi tumekuwa na vikao vya mtaa kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii? Au tunasubiri wizara ije atusaidie kujengea? Je, tumewahi kulizingumza hilo la betting na Pombe kwenye mitaa yetu tukaeleweshana madhara yake?
Kama utafanikiwa kurudi tena bungeni, hata usipoteuliwa tena (kwasababu nchi hii uchapakazi sio kipaumbele). Naomba usaidie kupaza sauti juu ya taasisi na mashirika ambayo yamejibrand kama watoaji wa misaada kwa watu wasiojiweza.Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.
Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.
Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.
Hii ni kwa kifupi tafadhali....
View attachment 3407353
Atatumia mlango wa chauma tumwombee🤣Halafu sasa nisiporudi weye sasa umejiandaaje kwenda na fomu muda umepita🤗
Binafsi sikuwa nakukubali hata kidogo wakati ukiwa wizara ya afya (hii ilichangiwa na kuwaamini zaidi waliokuwa wakipika data hovyo juu ya serikali ili kuichafua) lakini baada ya kufuatilia utendaji wako na mtu usiyekuwa mstari wa mbele kuhakikisha angalau kwa uchache unajumuika nasi humu, naomba Mungu anisamehe kwa nilivyokuwazia. Ubarikiwe sana kwa kazi yako iliyoacha alama. Upande wa jinsia na watoto umeutendea haki. Ajaye hapo kama sio wewe, ajiandae kujibu iwapo viatu vitapwaya.Uko sahihi kabisa. Watoa maoni wangekuwa waungwana kujua nafasi ya jamii yenyewe na nafasi ya kila Wizara, hakika, maoni yao yangeongeza thamani ya mchango kwenye kila wizara. Ila sasa, wanajisahaulisha, wakidhani eti, ndiyo kutakuwa na tija, kumbe haitakuwepo kwani, wote ni wahusika kila watu au mtu na nafasi yake. Hii sasa ndiyo kugeuza ajenda ya watu wote kuwa ya mtu. Mitazamo aina hii huleta changamoto zaidi kuliko ufumbuzi.
Ukianzia ustawi wa jamii hadi maendeleo ya jamii, NENO "JAMII" lina maana kubwa ila JAMII yenyewe hujitoa ufahamu na kuziba masikio. Vitendo vyote vya ukatili na unyanyasaji huanzia ngazi ya jamii katika ngazi ya familia hadi jamii kwa ujumla wake lakini kila mmoja katika jamii hunyoosha kidole kimoja kwa mwingine kudai ndiye anatakiwa awajibike au chanzo cha tatizo. TUSIMAME KAMA JAMII KILA MMOJA KWA NAFASI YAKE KUPINGA VITENDO VYA UKATILI, UONEVU NA UKANDAMIZAJI KWENYE KILA TAASISI JAMII KUANZIA FAMILIA, SHULE,NYUMBA ZA IBADA, NK. NA TUWE TAYARI KULIPA GHARAMA ZA UTHUBUTU WETU IKIWEMO MUDA,FEDHA, NK NDIPO TUTAONA MABADILIKO. MH. UNAKUNYWA SODA GANI TUKUAGIZIEUko sahihi kabisa. Watoa maoni wangekuwa waungwana kujua nafasi ya jamii yenyewe na nafasi ya kila Wizara, hakika, maoni yao yangeongeza thamani ya mchango kwenye kila wizara. Ila sasa, wanajisahaulisha, wakidhani eti, ndiyo kutakuwa na tija, kumbe haitakuwepo kwani, wote ni wahusika kila watu au mtu na nafasi yake. Hii sasa ndiyo kugeuza ajenda ya watu wote kuwa ya mtu. Mitazamo aina hii huleta changamoto zaidi kuliko ufumbuzi.
Japokua wizara ya ustawi inahusika lakini kwenye utekaji si moja Kwa moja. Hapo deal na wizara ya mambo ya ndani. Na ukiona utekaji umetokea na hakuna hatua inachukuliwa au wanakaa kimya ujue ni "kazi yao."Basi Nijibu wanaotekwa ni jamii ipi na wanaobakwa ni jamii ipi.
Alafu ukimaliza,niambia kubakwa na kutekwa kipi kibaya zaidi.😂😂
Umefafanua vizuri sana mkuu,,Mh Waziri unazingua. Usijifiche kwenye kichaka cha mtume au yesu hakumaliza changamoto zote.
Maswala ya betting tumeyaongelea mno humu na % kubwa wanaocheza Yale mabaonanza ni watoto wanafunzi kuanzia umri wa miaka7+ wanajua kuyacheza.
Watoto imefikia hata wakiagizwa chumvi wanapita kucheza kwanza bonanza mtaani.
Kwa hali ya mabonanza iliyopo mtaani ni nyingi kuliko hata maduka.
Kipindi hujaingia kwenye wizard hiyo mabonanza yalikuwa kwenye bar/Club.
Kwa sasa mabonanza yapo hadi kwenye saloon za kunyoa na kwenye maduka ya watu.
Hii inatupa changamoto sana sisi wazazi maana serikali imeruhusu yawe holela tu ni ajabu kweli
Maadili yanavurugika mno watoto wakipigwa kwa kucheza mabonanza mnatoka mbiombio kumkamata mzazi aliyempiga mtoto wake kipigo cha mbwa koko.
Mfano wiki iliyopita tu siku ya Alhamisi mtoto wa kike wa darasa la sita aliagizwa akasage akipewa sh 2000 ili usage na kununua mafuta ya kupikia.
Cha ajabu yule binti akapita kwenye bonanza akaliwa hela yote akaenda wanakouza mahindi akauza ili aje akomboe hela aliyoliwa.
Nayo pia ikaliwa. Kilichofuata ni kipigo cha mbwa mwizi kwa hakika kama tungempiga picha na kukutumia wewe huyo mzazi ungeruka nae.
uzuri binti anaendelea na masomo huku akijutia kipigo kile.
Nakuomba sana haya mabonanza na aina zingine za kamari ziwekeeni kodi kubwa na sheria kali sana.
Mfano yasionekane mtaani isipokuwa kwenye kumbi za starehe tu wanapoingia watu wazima miaka 18+. Kama club,bar,casino nk
Siyo yawe kila Mahalo kiholela tu
Sasa akijiuzulu itasaidia nini, we unataka ile nafasi? Huyu mama amejitahidi sana tena sana, we umetumwa siyo bure. Watanzania wanajua na wameandika humu hakuna waziri km Dr. Dorothy Gwajima yuko karibu sn na wananchi, akipata taarifa tu jambo hilo analishughulikia haraka sana, huyu mama Mungu ambariki sana.Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu
Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.
Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.
Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.
"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
View attachment 3407330
Kwa hiyo Mheshimiwa, kwa maoni yako, ushauri bora unaweza tu kutolewa na mtu mwenye cheti rasmi?Mimi walau nina washauri rasmi nawasikiliza tunapiga kazi hadi tunalinda wanao huko umeshindwa kuwalinda, sasa wewe washauri wako rasmi wako wapi au kama una kacheti nikuombe uwe mshauri wangu pia? Naona vyote huna😭, kilio
We una matatizo yako binafsi upuuzweInashangaza anatuasa kuhusu kunyanyaswa kwa watoto na wakina mama na ukatili wa jinsia,
Hivi mtu kutekwa na kuuwawa na mtu kunyanywaswa kingono kipi kibaya zaidi?
Maana yote yanahusu ustawi wa jamii ambao Uko chini wako Madam Waziri😂😂😂
Au wanaotekwa ni wa jamii ipi😜
Kula chuma hiko.