Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Aaah Kumbe Kuhubiri ni kipaji cha familia,Si kanisa la Shemeji limefungiwa😂😂.

Mungu ana njia nyingi sana kupitisha ujumbe
 
Kwahiyo kuwa waziri ushajipa mamlaka ya kuhukumu wa mbinguni na wa kuzimu sio?😜
Sijajipa ila wewe unajaribu kunipa, sijui umetoa wapi mamlaka ya kujaribu jaribu mambo mazito mazito. Ngoja kwanza nicheck inn nisiachwe na safari sababu ya stori zako za hapa na pale
 
Madam naomba nilale kesho napanda daladala wewe V8 linakufuata.

Ole wako nitekwe,
 
Imekuwa nzuri tena? 🙆, si tumesema kazi iendelee
Ushaanza majigambo si umesema una cheki in madam,

Alafu Saivi ni Kazi na Utu Sio kazi iendelee,

Angalia PM nimekutumia Ilani ya chama😂😂

Ila leo,nimekuokota sana
 
Ushaanza majigambo si umesema una cheki in madam,

Alafu Saivi ni Kazi na Utu Sio kazi iendelee,

Angalia PM nimekutumia Ilani ya chama😂😂

Ila leo,nimekuokota sana
Majigambo ya nini sasa mimi na huwa sipendi mambo ya ziada ziada.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…