Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,660
Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA
Amezungumza hayo wakati akihojiwa na Wasafi FM, Mei 9, 2025, Mtangazaji Charles Williams alimuuliza “Kumekuwa na vitendo vinavyoitwa vya Utekaji, hata Ripoti ya LHRC imeeleza hilo, hapa Mbeya amepotea Mdude (Nyangali), CHADEMA na Serikali wametangaza dau kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.”
Akaongoza “Je, vitendo vya Watu kupotea au kutekwa vinaonekana vimeshamiri au vimerejea kwa kasi, Watu wanadhani Bunge lina sababu ya kusimamisha kusimamisha shughuli zake na kulijadili kwa kina suala hilo, wewe unasemaje?"
Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo inahitaji ushahidi na isiwe suala la kusikia.Amezungumza hayo wakati akihojiwa na Wasafi FM, Mei 9, 2025, Mtangazaji Charles Williams alimuuliza “Kumekuwa na vitendo vinavyoitwa vya Utekaji, hata Ripoti ya LHRC imeeleza hilo, hapa Mbeya amepotea Mdude (Nyangali), CHADEMA na Serikali wametangaza dau kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.”