Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 5,911
- 11,102
Washagatuona sisi mambuzi ndo maana wanatoa lugha za hiviAlienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtuš
Washagatuona sisi mambuzi ndo maana wanatoa lugha za hiviAlienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtuš
Hasa msiba wa mtu wako wa muhimu!!Kwahiyo Mdude inawezekana ameenda kujitafuta.
Msiba usikie nyumba ya jirani
Dr. Tulia anasema ukweli mchungu ambao nyumbu wote hawako tayari kuukabili.Hamna kitu kama hicho. Mwanasiasa hawezi kuwa mlokole. Anaebisha anyooshe mkono
Speaker anaona hayana umuhim? Wananch kupotea anaona ni kawaida?Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo inahitaji ushahidi na isiwe suala la kusikia.
Amezungumza hayo wakati akihojiwa na Wasafi FM, Mei 9, 2025, Mtangazaji Charles Williams alimuuliza āKumekuwa na vitendo vinavyoitwa vya Utekaji, hata Ripoti ya LHRC imeeleza hilo, hapa Mbeya amepotea Mdude (Nyangali), CHADEMA na Serikali wametangaza dau kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.ā
Akaongoza āJe, vitendo vya Watu kupotea au kutekwa vinaonekana vimeshamiri au vimerejea kwa kasi, Watu wanadhani Bunge lina sababu ya kusimamisha kusimamisha shughuli zake na kulijadili kwa kina suala hilo, wewe unasemaje?"
Hawa ni wabunge zao la magu 2020Speaker anaona hayana umuhim? Wananch kupotea anaona ni kawaida?
Watanzania muwe makini na aina ya viongoz mnaowapeleka bungeni. Hizi dharau na kiburi ni sabab mmewapa dhamana
Wale wanunge wa āniletee huyuuā ,moja ya kipind ambacho nchi ilipata wabunge wa hovyo sanaHawa ni wabunge zao la magu 2020
Mpumbavu huyu kwa hiyo mdude kaenda Marekani siyo?Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo inahitaji ushahidi na isiwe suala la kusikia.
Amezungumza hayo wakati akihojiwa na Wasafi FM, Mei 9, 2025, Mtangazaji Charles Williams alimuuliza āKumekuwa na vitendo vinavyoitwa vya Utekaji, hata Ripoti ya LHRC imeeleza hilo, hapa Mbeya amepotea Mdude (Nyangali), CHADEMA na Serikali wametangaza dau kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.ā
Akaongoza āJe, vitendo vya Watu kupotea au kutekwa vinaonekana vimeshamiri au vimerejea kwa kasi, Watu wanadhani Bunge lina sababu ya kusimamisha kusimamisha shughuli zake na kulijadili kwa kina suala hilo, wewe unasemaje?"
Yalikuwa mambo ya ajabu sana. --- na itatumika nguvu kubwa sana mpaka box la kura lije kuwa na thamani tenaWale wanunge wa āniletee huyuuā ,moja ya kipind ambacho nchi ilipata wabunge wa hovyo sana
Mbeya hawajahi kumchagua huyu.Mbeya mkimrudisha huyu mpumbavu tutawashangaa sana
Mkuu usifike huko tafadhali sana.Huyu hata mbwa wangu wa nyumbani petty dog akimuona anahisi RANGO kama mijusi ya nyumbani
Si kwamba kuna wajinga wenye miguu mirefu?Nchi ya kijinga sana