Ndio anavyomaanisha huyo mama moto ni wake ikifika kiama yakeAlienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtu😌
Kifo ni kifo kama aliyeuwawa sio ndugu yako.
Kutekwa ni kwenda kutafuta maisha kama aliyetekwa sio ndugu yako.
Damu za watu huwa zinaondoka na watu.