Msikie Shaffih Dauda...

Msikie Shaffih Dauda...

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
#‎BRAZUKA‬ Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msim wa sabasaba
Brazil wamefungwa 7
Game imeisha saa 7
Mathayo 7:1 Inasema "na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande saba vya mkate ili mgeni apewe kimoja,kwa maaana bwana anataka tuwe wakarimu kwa wageni"..
 
Sawa ila tatizo lipo kwenye Mathayo 7:1, Haina maandiko hayo uliyoandika, Bali husomeka msihukumu msije mkahukimiwa
 
Back
Top Bottom