kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 186
- 151
Habari zilizotufikia sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi mjini.
