frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Nitarudi badae
ata mimi kwan sijaelewa kabisa mada kuu.
Nitarudi badae
Kanjanja wa JF ,thread hata haileweki kichwa wala miguu kweli ccm ni janga la TZ
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi Mwenge upo chini ya wizara gani? na Je mwenge huwa unapangiwa bajeti kila mwaka?
chadema wao vurugu kama hizo ndiyo hoja kwao hufanya vurugu mpaka nyumbani kwao kwa wake zao.Habari zilizotufikia
sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti
kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha
bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi
mjini.
Habari zilizotufikia sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi mjini.
Mkuu wa mkoa iringa hajui kuwa wananchi wa iringa hasa mjini boss wao ni msigwa na yeye ni kibaraka tu wa tajiri yake aliemuweka pale,ilo ni jimbo la chadema.kama uwamini hii maneno mkuu wa mkoa aidondoshe sehemu bendela ya ccm hakuna atakaeiokota akirudi ataikuta.