KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
kupigiia mwenge saluti ni kuitumikia ibada ya sanamu(askari unaemcha mungu stuka)
Brave man, asante nilikuwa nijibu exactly
kupigiia mwenge saluti ni kuitumikia ibada ya sanamu(askari unaemcha mungu stuka)
Uchaguzi gani ambao chadema watashinda au unaongelea ule wa TFF.CDM wakishinda uchaguzi Mwenge unawekwa kwenye jumba la makumbusho kumuenzi Nyerere na Nyirenda FULL STOP!!!
Kuna sheria inasema kwamba JK akiwa mahali walipo Chadema basi bendera za Chadema lazima zishuke au kuna nini hapo ? Mbona bendera inakuwa issue sana .Mbona walisema Chadema ni chama cha msimu ? Chama cha Wachaga ? Walisema ni NGO ? Uhuru wa vyama vingi uko wapi ? Kwani JK hajui kwamba kuna Chadema ? Mbona anamjua sana Tundu Lissu iweje hajui kwamba ni wa Chasema ?
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?
Uchaguzi gani ambao chadema watashinda au unaongelea ule wa TFF.
Hivi Mwenge upo chini ya wizara gani? na Je mwenge huwa unapangiwa bajeti kila mwaka?
kupigiia mwenge saluti ni kuitumikia ibada ya sanamu(askari unaemcha mungu stuka)
Ni bonafide genuine!.Hiyo picha haina uhalisia mkuu, ni photoshop. Mkuu Pasco wewe ndio mtu wa bonafide genuine njoo unisaidie hii picha ya huyu dogo aliyopost hapa.
Ni bonafide genuine!.
Pasco.