Msigwa kukamatwa baada ya sherehe ya mwenge

Msigwa kukamatwa baada ya sherehe ya mwenge

post uliyoweka haifanani na jina lako naona imekaa kilumumba zaidi kachukue buku saba zako haraka na aspokamatwa ni mwisho leo kuamini post zako maana ni za uongo. be reasonable usitumie ma------ kufikiria tumia ubongo wako vizuri:faint2::faint2::faint2::A S 39::A S 39::A S 39:
 
Hongera Msigwa kuwaambia ukweli wana Iringa,kwani mwenge una faida gani?Kwanini tuchangie kitu kisichokuwa na faida?
 
Msigwa mbunge wa iringa mjini asalimu amri baada ya kushindwa kupambana na kuporomosha matusi dhidi ya mwenge. Baada ya jana jioni kupokea JK na kutubu zambi zake . Msigwa akiri CCM chama kubwa na ni hatari baada ya kuzishusha bendera za chama chake CHADEMA.View attachment 116645

Hiyo picha haina uhalisia mkuu, ni photoshop. Mkuu Pasco wewe ndio mtu wa bonafide genuine njoo unisaidie hii picha ya huyu dogo aliyopost hapa.
 
Last edited by a moderator:
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?

japo id yako hainifurahishi , hasa ninapokumbuka shule ya bweni niliyosoma , lakini nikukumbushe tu kwamba hapa jf uongo ni mwiko .
 
Hata wakimkamata Mhe.Msigwa bado jimbo la Iringa mjini litaendelea kubaki la CHADEMA tu.
Kiwete,Makinda,Lukuvi na RC Iringa na walaaniwe!
 
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?

japo id yako hainifurahishi , hasa ninapokumbuka shule ya bweni niliyosoma , lakini nikukumbushe tu kwamba hapa jf uongo ni mwiko .
 
CDM wakishinda uchaguzi Mwenge unawekwa kwenye jumba la makumbusho kumuenzi Nyerere na Nyirenda FULL STOP!!!
 
Mwenge umetengewa bajeti na serikali, michango ya nini? Na huu mwenge ni karaha vijijjini, mijini huwezi kuona ujinga huo wa kuchangishana. Mwenge uwekwe jumba la makumbusho sasa au ukimbizwe kila baada ya miaka 5
 
Haitasaidia kumkamata msigwa bila kuwaletea wananchi sera zinazotekelezeka ili kuwaondoa katika umaskini walionao
 
CDM wakishinda uchaguzi Mwenge unawekwa kwenye jumba la makumbusho kumuenzi Nyerere na Nyirenda FULL STOP!!!

Sidhani kama tunahitaji wajukuu zetu wakumbuke huu utoto na upuuzi. Wakiulizwa utasikia "alama ya Taifa" Kwani tulikosa kitu kingingine mbadala wa hicho kibatari? Kwani ni lazima kuwe na alama za hasara kama mwenge? Kwa hilo tulichapia!
 
Back
Top Bottom