Ni aibu sana !Hii ni kashfa mbaya sana kwa CCM.
Black check ndo nini tena Mkuu?Msigwa tunakuhitaji kwa bei yoyote ile , nitakutumia black cheque tumalizane
Cheque ambayo unajaza tarakimu wewe mwenyeweBlack check ndo nini tena Mkuu?
Ni black au blank cheque?Cheque ambayo unajaza tarakimu wewe mwenyewe
Kwa hiyo na Lazalo na Lowasa, sumaye wote walinunuliwa.
Labda kafulila na katambi ndio wanamaisha ya kuungauunga hao ndio raisi kununuliwa.Kwa hiyo na Lazalo na sowasa, sumaeye wote walinunuliwa.
Rudi tena ulipojifunzia hii kitu Mkuu.Cheque ambayo unajaza tarakimu wewe mwenyewe
Huyu kamaanisha "hawala nyeusi"- black cheque.Ni black au blank cheque?
Ametoa kauli hio kwenye kipindi kilichorushwa na Chanel Ten Usiku huu baada ya kuulizwa Kwanini Chadema Wasinunue watu Kama CCM!!
Hili jibu limenikosha saana! Barikiwa Mtumishi
Andika vitu vinavyoeleweka! Mirundi mingine kujifanya waswahili huku ikibeba kadi za ccm na kuvaa sare za ccm muda wote hadi kusahau bei ya nguo ndio huandika hivi.Kwa hiyo na Lazalo na sowasa, sumaeye wote walinunuliwa.