Msigwa: Hatununui watu Kama Mbuzi

Msigwa tunakuhitaji kwa bei yoyote ile , nitakutumia black cheque tumalizane
 
kama ni kweli CCM wananunua watu, kama ni kweli lakini

basi wema sepetu ni mbuzi mnono haswaaa anafaa kwa xmas hii ijayo

na mpaja wake, mixer mtakyooooo
 
Msigwa akupunge kauli zake za nyuma asitafute mchawi wakati anae ndani
 
Hii ni biashara ya utumwa
Umoja wa mataifa uingilie kati kama ile biashara ya watu kununuliwa kule Libya.
 
Ametoa kauli hio kwenye kipindi kilichorushwa na Chanel Ten Usiku huu baada ya kuulizwa Kwanini Chadema Wasinunue watu Kama CCM!!

Hili jibu limenikosha saana! Barikiwa Mtumishi

Ila kipindi cha Lowassa,Sumaye,mgeja,makongoro mahanga Laurence Masha,Kingunge na wengine wengi 2015 na bila kumsahau Nyarandu 2017 walikuwa wamenunuliwa kama mbuzi
 
Back
Top Bottom