Msigwa: Hatununui watu Kama Mbuzi

Ila kipindi cha Lowassa,Sumaye,mgeja,makongoro mahanga Laurence Masha,Kingunge na wengine wengi 2015 na bila kumsahau Nyarandu 2017 walikuwa wamenunuliwa kama mbuzi
Wameenda kwa matakwa yao sio kununuliwa kama mnavyonunua, watu wana clip zenu muda utasema tu subiri zitakapotolewa mkikubaliana bei
 
Ametoa kauli hio kwenye kipindi kilichorushwa na Chanel Ten Usiku huu baada ya kuulizwa Kwanini Chadema Wasinunue watu Kama CCM!!

Hili jibu limenikosha saana! Barikiwa Mtumishi
* hatununua watu Kama Mbuzi Ila tunauza watu Kama Kondoo*
 
Ila kipindi cha Lowassa,Sumaye,mgeja,makongoro mahanga Laurence Masha,Kingunge na wengine wengi 2015 na bila kumsahau Nyarandu 2017 walikuwa wamenunuliwa kama mbuzi
Mbuzi ni mbuzi tu
 
Chanel ten ni ya ccm sijaelewa wanawezaje kuuliza swali kama hilo? Lakin jinsi swali lilivyoulizwa linadhihirisha kuwa ccm wao ni kweli walikuwa wananunua watu
 
Ccm na rushwa ni kama tako na chupi huenda sawia sawia
Yaani mfano mzuri kwako kwa watu wazima ni huo wa tako na chupi...yaani hayo ndiyo mawazo yako yanajielekeza kutoa mfano wa tako na chupi...huna mfano mwingine zaidi ya huo wa tako na chupi..duh
 
Back
Top Bottom