Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,565
- 88,576
Huyo Heriety mbona kama namjua ??
Huyo Heriety mbona kama namjua ??
Mungu wangu naomba asiwe Veneranda ninayemjua mimi !!Mpenzi wangu veneranda na kusifu/kukusifia kuhusu kujituma kwako katika kazi na Mapenzi pia
Mimi na wewe mpaka kifo maana sikupwai,hunipwai hatupwayani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye selfika na usiku wa mananeTusio na wapenzi tunacomment wapi eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wangu naomba asiwe Veneranda ninayemjua mimi !!
Uwiii niko nawaza sijui nimuite DepalI love you baby..
😅😅😅😅😅😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ndio hapoMmeambiwa neno moja mnatushushia gazeti...mfyuuu zenu[emoji41]
Kwa kweli hapa hapatuhusu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli vile kama ni yeye nitalia wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi zako hizo zimeanza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli vile kama ni yeye nitalia wallah
Muite tuu jamaniUwiii niko nawaza sijui nimuite Depal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nisikilizie kwanzaMuite tuu jamani
AmazingTumezoea kuzungumzia madhaifu ya wenzetu mara kwa mara tunapozama katika majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.
Leo napenda kuanza wiki yangu Kwa kumsifu mpenzi wangu EMY kwa kunivumilia kasumba zangu nyingi. Kwakweli amevumilia matukio mengi sana kwa kutamka wazi kuwa ananipenda. Napenda kutambua upendo wake na uvumilivu wake.
Msifu mpenzi wako walau kwa neno moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa kinyaturu wana sifa zipi ?J wangu mtoto mzuri mixer ya kinyaturu,muiraq,mtusi na sukuma kama ungegombea umiss world ungeshinda. Nashukuru kwa kuniletea tripple entente twins sons nakupenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app