Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

This is my only word to her...
IMG_20200424_114838.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
V,tabasamu lako linatosha sana kuongeza siku za maisha yangu,napenda uzuri wako kama ua waridi ,mim kwako ni kama nyuki ninaefata harufu nzuri,Asante kwa mahaba unayonipa naona kama tupo watu wawili tu duniani,wengine wote ni miti[emoji23],I love you my superwomen,[emoji3059]

dah Nelly hapa ni mkaratusi kweli dunia haiko fair
 
Back
Top Bottom