Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

Msifu mpenzi wako japo kwa neno moja

Ulinivumilia tangu nipo geto nalalia kigodoro Cha nchi 2½ Tena chini, Upendo wako Ni wapekee Sana kwangu, Nakupenda and Soon U will be my wife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako uliyekuwa mke. Nilikupenda sana jinsi ulivyokuwa mbali na malezi ya watoto. Nilipenda jinsi ulivyokuwa ukitoa kipaumbele kwa watu baki na sio kwa wanafamilia. Nilipenda jinsi ulivyo kuwa mstali wa mbele kwenye vikoba, deci, namaingo,. Nilipenda kwa tabia za ubabe, na kuto jishusha kwa sbb eti wewe mchaga.kila neno kwako lilikuwa sheria. Ulimi wako muda wote ulitema mauti badala ya baraka. Na jinsi ulivyo kuwa wa baridi kitandani niliishia kujichua. Nasema asante Mungu vituko vyako vilinifungulia dunia sasa Am free.
 
Futa machozi yangu mpenzi nakupenda sana.



l love you mamy .
 
Back
Top Bottom