Huu sasa ndio undugu. Nitajie mjukuu unayemtaka nikuzawadieMim siwez kuona maslah yako yanachezewa nkakaa kimya Mzee tuko pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida babu wajukuu zako siwajui embu nipe listHuu sasa ndio undugu. Nitajie mjukuu unayemtaka nikuzawadie
Ila pale mamba kotelaa ni balaa na nusu babu!Nikajua utasema Asprin babe tunakutana lini tena Mamba Kotela?
Ni wivu tuMmeambiwa neno moja mnatushushia gazeti...mfyuuu zenu[emoji41]
Nani tena huyo mwenye wivu!!?Ni wivu tu
Yule Jojo Dalali wa Malaya?Nakupenda Mke wangu Jojo kwa kunivumilia ,maana jana nilirudi nimelewa nikatapika na wewe ukapiga deki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani tena huyo mwenye wivu!!?
Tumezoea kuzungumzia madhaifu ya wenzetu mara kwa mara tunapozama katika majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.
Leo napenda kuanza wiki yangu Kwa kumsifu mpenzi wangu EMY kwa kunivumilia kasumba zangu nyingi. Kwakweli amevumilia matukio mengi sana kwa kutamka wazi kuwa ananipenda. Napenda kutambua upendo wake na uvumilivu wake.
Msifu mpenzi wako walau kwa neno moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachompendea mpenzi wangu ana bodaboda wake mmoja tu
[emoji23][emoji23]eti miti daaahV,tabasamu lako linatosha sana kuongeza siku za maisha yangu,napenda uzuri wako kama ua waridi ,mim kwako ni kama nyuki ninaefata harufu nzuri,Asante kwa mahaba unayonipa naona kama tupo watu wawili tu duniani,wengine wote ni miti[emoji23],I love you my superwomen,[emoji3059]
Sent using Jamii Forums mobile app
dah Nelly hapa ni mkaratusi kweli dunia haiko fair
Nampenda.
Ni mwanaume ambae anajua maana ya upendo ni nini.
[emoji7]
Tusio na wapenzi tunacomment wapi etiTumezoea kuzungumzia madhaifu ya wenzetu mara kwa mara tunapozama katika majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.
Leo napenda kuanza wiki yangu Kwa kumsifu mpenzi wangu EMY kwa kunivumilia kasumba zangu nyingi. Kwakweli amevumilia matukio mengi sana kwa kutamka wazi kuwa ananipenda. Napenda kutambua upendo wake na uvumilivu wake.
Msifu mpenzi wako walau kwa neno moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha i second youWacha niwe mpenzi msomaji