Msidhani wote tunapapatikia hilo

Na wewe nae n limbukeni tu asa unakuja kuripoti huku ili iweje kwa nini msingeyamaliza huko, ili tukujue unamiliki 'kigari' au
 
Wanawake mkiwa na mafanikio taabu yake n hii....nmesoma Uzi ila sijaona kosa LA mwanaume....HV yy kusema akupe lift ndio kosa hadi umlambe kibao na matusi juu???

Wanawake mmmmh.....Mungu atusaidie kuishi na hivi viumbe vyenye uasili wa roho mbaya
 
mm sina hata gari na wala sina mawazo ya kununua gari ili niwapate wanawake kirahisi bali utanashati wangu na kucare ndo kutanisaidia kuwapata na naamini kupitia hivyo nitapata wanawake nitakaodumu nao kwa muda mrefu
 
huu nao ni ushamba kujimwambafai na Harrier mbele ya Subaru Forester.

Kwani mtu akisema akupeleke unakoenda ndio unahisi anashoboka sana au kakupenda sana, ni vile tu ameona unakula vumbi barabarani.
 
Kwa vile unalo gari ndo maana unadiriki kusema ‘sio ishu’ siku hizi, japo nawe ni harrier tu na hatutaki kujua model wala umelipataje.... bila hivyo wala usingekuja kutamba hapa.
 
Alitaka kunigonga...kaja kufungia break miguuni tena upande wa kulia wa barabara hiyo yote anipe lift.sikupenda.nimemchapa kibao ajifunze ustaarabu.mi sipendi ujinga hivyoo.
Pole sana best.
 
Alitaka kunigonga...kaja kufungia break miguuni tena upande wa kulia wa barabara hiyo yote anipe lift.sikupenda.nimemchapa kibao ajifunze ustaarabu.mi sipendi ujinga hivyoo.
Halafu baadae mnaibukia Mlima wa moto kusubiri upepo wa kisulisuli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…