Msidhani wote tunapapatikia hilo

Ila sio uongo, wengi wanavipenda hivi "vigari" vya mikopo(IST, Vits, Passo nk), wanavipenda sana na vijana wenye hivi "vigari" wanachapa mabinti zetu.
 
Kumbe na wewe una gari kama mimi
 
Naona ni msimu wa viroja vya wamiliki magari
 
Kuna mwingine amefunga brake na starlet yake, mbele ya msichana mrembo, amepigwa kibao akazimia papo hapo.
 
Ungepanda alafu ungerudi nae pale ulipopaki mchuma wako, angemwambia jaribu were na gari yako.
Ungemuona alivyoshirinki.
 
Nlichogundua sio kwamba hupapatikii gari,bali gari aliyokua nayo mwana ilikua ni cheap kuliko yake....Bila shaka angekuja mwenye ndinga ya maana,yawezekana huu uzi ungekua tofauti kabisa
 
Hapa the real intention haikuwa kutufahamisha kuwa na wewe una gari tena harrier? Just guessing though
 
Asante kwa kuja tena ,maana ulipotea kwa muda.
 
Reaction yako kwenye scenario hiyo ni ya kitoto.Any matured woman would have declined politely na huyo jamaa angeondoka.I'm afraid bado haujaweza kufikia ukomavu wa kudhibiti hisia zako unapokumbana na watongozaji tofauti tofauti.Huyo jamaa hana makosa na alikuwa anatekeleza wajibu wake kama mwanaume.Wajibu wetu wa MSINGI ni KUTONGOZA NA KUGEGEDA.Lakini ni haki yako kukubali au kukataa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…