Labda una chura ndo ilimchanganya baharia. Siku nyingini fikiri kabla ya kutenda. Mfano umempiga kibao kadondoka vibaya akafariki huoni utakuwa matatizoni wewe? Kwa maelezo yako uliyotoa nimeyasoma kwa makini sana sijaona tatizo lolote baharia alilotenda.
Kwanza, alikusogolea kwa karibu kwa umakin bla kukugonga ingawa ww ulihis tofauti. Pili, alikuita kwa bashasha na upendo "mrembo" bila shaka huku akitabasamu, alikuwa sahihi.
Tatu, akatoa ofa yakukupeleka unapopataka bahati ilioje ingkuwa huna usafiri au usafiri wako ungekuwa umeharibika. Nasisitiza baharia alikuwa sahihi.
Nne, baharia alikuwa sahihi kwakuwa alionesha nia ya kuchangamkia fursa haraka alipoiona Kama tunavyohimizwa na ajenda za chama chetu tukufu cha mabaria.
Tano, naskitika kuwa umehatarisha nafasi za warembo wengine kwa ubinafsi wako usio na maana. Imagine baharia akianza kuogopa kuwafata warembo kwa style hio, ikiwa Kuna maelefu ya warembo barabarani wanatembea ili iwakutane na fursa Kama hizo.
Mwisho, baharia atakuwa amefanya kosa kubwa Sana, ambalo litafanya ww kuombwa radhi na chama cha mabaria wote ikiwa itabainika kuwa huna chura, Hunashape kali na huna mvuto.