Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Ni demu wangu wa muda mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa.
Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari kwa mwanaume.
Binafsi naona kama hizo ni dharau, mimi nimeona anataka kunidharilisha. Nayeye hataki kabisa niende kwao kumtolea mahari.
Anataka wazazi wangu mpangie mahari namimi nataka wazazi wake wanipangie mahari, hapo ndipo tunapishana.
Imagine, mtaani kwetu kuna kuwa kuna sherehe watu wanasema "tulikuwa tunapokea mahari ya SUPU YA MAWE " hahahaha