Msichana wangu anashindwa kunitaja jina kwenye simu

Msichana wangu anashindwa kunitaja jina kwenye simu

Nimemkumbuka mtu fulan alikuaga ananisevu jina la kiume kama mara tatu aisee mapenzi hayaa
 
Wewe mvulana bado....MTU amemtumia msg ni lazima amuulize n. Nan sijaona cha kucomplain hapo...kuwa mwanaume.
 
hivi hamnaga kaz nyingne kaz kuwapima wapenz wenu, mtakufa na presha
 
Back
Top Bottom