Mtoto mkubwa
Member
- Dec 29, 2014
- 68
- 23
- Thread starter
- #21
Napata wengi t cz mwenyewe HB nashobokewa t.Kwani huwezi kupata mwingine tofauti na yeye?
Napata wengi t cz mwenyewe HB nashobokewa t.Kwani huwezi kupata mwingine tofauti na yeye?
Na vjana jike vinavyotaka kuolewa havina mcmamo hebu kuweni waaminifu muolewe...Afu hivi vijanaume ambavyo havitaki kuoa ila vinataka kuishi na watoto wa watu tu.
Vuinajifanyaga vina wivu.
Muweke ndani ndo umchnge
Nina mpenzi wngu anajifanya ananipenda saaaaana na anawivu sanaaaa.. Pia ana jifanya kuwa anampenzi mmoja t ambaye ni mimi chaajab juzjuz nme badilisha namba nmemtext ameji ananiuliza nan. Nmemjib m boyfriend wako ananambia nitaje jina nq muuliza unawapenzi wangapi anasema hana mpenzi nikimuuliza sana ananijibia jeuri.. Hivi hapa kuna nn wakuu...?
Weee kuoa hawakurupuk.. Sas hapo nngekuwa nxhaoa c nngekufa kwa preshaMuoe kwanza ndo uwe na haki ya kuhoji hayo
Mwache basiNapata wengi t cz mwenyewe HB nashobokewa t.
Huyu ntamuacha ila ngojabkwanza nmuangaishe cz mwenyewe nampenda asee.. C unajua kitu from [emoji173]Mwache basi
Kweli kabisa na kiharaka haraka anaweza fanya maamuzi ya kijinga kumbe hajatumia akili.Hayo mambo ya kumtia mpenzi wako kwenye majaribu ni upuuzi
Team michepuko mnateteanaWe nawe ndio nyie hamchelewagi kupata presha za kujitakia.
Ki sasa hivi hakuaminiki kama umebadilisha namba mbona simple tu mwambie mi fulani nimebadilisha namba basi.
Hayo ni mapenzi ya kizamani.
Sio kuteteana mkuu penye ukweli pasemwe ukishaingia kwenye mahusiano walio wengi wanajua akili yako imepevuka sasa mtu akileta mambo ya kitoto lazima tushangae.Team michepuko mnateteana
Siipendi hii tabiaa,.Hayo mambo ya kumtia mpenzi wako kwenye majaribu ni upuuzi