nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Kama usiku unamnyatia makoridoni utamlipa shs ngapi?
Unamlipa 30,000/= Hadharani.
halafu kila week unamtoa kiushkaji( mama asijue) mfano 10,000/= au 5,000/= kutegemea na hali.:A S wink:
Kama usiku unamnyatia makoridoni utamlipa shs ngapi?
what does it have to do with love-connect ?
Aisee.... yani badala wife alee wanao wanalelewa na osigelo????
Hii dunia hii
Kama wote kwa job nani analea?
90,0.000 plus matibabu na mavazi
90,0000 plus matibabu na mavazi
Kama wote kwa job nani analea?
Kama usiku unamnyatia makoridoni utamlipa shs ngapi?
niajiri miemilioni mbili