Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....