Msichana wa Mshikaji wangu anafanya Night Club kama muuza mwili

Mhango

Member
Nov 25, 2010
55
0
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....
 
duu! hayo mazingira noma nigth club kaka hiyo kimeo kama vp akimbie faster kabla haijala kwake...........................................
 
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

Mwambie ausikilize moyo wake. Kama anampenda kweli hatajali kazi anayofanya. Labda kama kazi anayofanya ni kuuza mzigo..

Ila kwa vile hana papers basi pia anaweza kuamua kufanya biashara ili mwisho wa siku apate papers. Ni suala gumu sana ila cha msingi ajiangalie anataka nini katika maisha yake ya usoni!
 
Kama huyo binti kazi yake ni kuuza mwili, sasa jamaa anataka kumuoa ili nini?. Hicho anacho kiuza ndiyo msingi wa ndoa. Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine wapo wengi tuu huku ughaibuni. kama makaratasi yanasumbua atafute hata kibibi ajishikize akishapata makaratasi atafute ustaraabu mwingine hiyo ndiyo njia rahisi tunayotumia kupata makaratasi sisi wapiga box ambao shule tulikimbia mapema.
 
kama jamaa bado anampenda itabidi atafute kazi yamaana
ili amtunze na akiwa anaingiza pesa ya maana anaweza
kumwambia huyo dada aache hiyo kazi......
au huyo jamaa amtafutie kazi nyingine ya maana ...
kwa sababu haya maisha achananayo bwana watu wanafanya vitu vya ajabu kuliko huyo dada ili tu ku survive...
kumuacha si solution kabisa..... kama bado wanapendana ...
 
Ulaya Soo kuna jamaa ana mke wake (wote wazungu lkn) Yule mwanamke ni Porn Star, lkn jamaa anasisitiza kwamba ile ni kazi kama kazi nyingine, so akitoka huko anarudi home ni mke wa mtu akiwa kazini ni kazini anasema hafanyi kwa mapenzi anafanya kazi ili apate riziki, so akirudi home kwa jamaa ndo anafasnya kwa mapenzi hahahahaha kweli ulaya nooooma.
 
Kaka me nakushauri umshauri aachane na huyo binti kama kweli anauza mwili, na hata hivyo asimuoe kwa sababu eti demu anazo na yeye kapigika, atakuja kua mume ***** siku si nyingi.
Lakini ngoja niulize, kwa nini mnang'ang'ania utumwani ili hali mwaweza rudi home mkafanya mabadiliko? huku home utumwa umekua wa kifikra zaidi (sihitaji kuelezea), me nawashauri mlioko ughaibuni kama mmepigika rudi nyumbani huku huwezi kufa njaa atiii.
 
Ulaya Soo kuna jamaa ana mke wake (wote wazungu lkn) Yule mwanamke ni Porn Star, lkn jamaa anasisitiza kwamba ile ni kazi kama kazi nyingine, so akitoka huko anarudi home ni mke wa mtu akiwa kazini ni kazini anasema hafanyi kwa mapenzi anafanya kazi ili apate riziki, so akirudi home kwa jamaa ndo anafasnya kwa mapenzi hahahahaha kweli ulaya nooooma.

Hii kitu inanichanganya sana....labda ndo maana common sense ain't common..
 
Hivi Night club kuna kazi gani? Hakuna kazi huko bila mwanamke kujiuza? Labda ni cashier? Waitress? Kama anauza mwili huyo haifai lakini kama anafanya kazi kama nyingine ,say, jikoni, counter ni suala la kumwamisha lakini shida ni kwamba ana papers lakini bado anaweza kumpeleka shule na akafanya kazi nyingine sehemu nyingine. Je, mke akiwa nurse utafanyaje? Au banker anatoka saa mbili baada ya ku-balance mahesabu au mhariri wa gazeti anatoka saa 6 usiku baada ya kuona print out ya kwanza, utafanyaje?

Ila ofisi inayoitwa Night Club noma!
 
Tuache kazi ichukuwe nafasi yake,mda wa kuchaguwa kazi umepita,sasa kazi ni kazi tuuuuuu

mapinduziiiiiii daimaaaa
 
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

Alimradi anajiheshum na kujitunza(pagumu kweli hapa...hasa ulaya kwenye maadili zero) au atakubali kubadili njia ya kutafuta riziki kwa maisha mema ya ndoa yake... jamaa akombe mzigo..... mtu mzuri/mbaya hutengenezwa!!
 
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

nani kakwambia KHABA AOLEWI AMA AFAI KUOLEWA NJOO DAR WACHA UGHAIBUNI KUNA WANAWAKE WENGI WAMEPITIWA NA WANAUME ZAIDI YA MAKAHABA UNAOWAONA NA JUMAMOSI KESHO WANAFUNGISHWA NDOA AZANI FRONT/ST PETROP/NA MAKANISA MBALI MBALI MWACHE KAMA MOYO WAKE UNAMPENDA MWAMBIE AMSAIDIE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MAANA UKIMWAMBIA AACHE ATAKWAMBIA NIPE KAZI HAPO NDIPO UNAWEZA KUSHANGAA DK KADHAA UKO DAR KWA PATRITION WANAWAKE WA NJE NI WASHENZI DK WANAKURUDISHA HATA NYIE MLIOSAMEHEE ASALI YA TANZANIA NA KUTORUDI TENA KUWENI MAKINI NA HAWA MADADA..PAPERS NYINGI ZINASHIDA WANAWAKE WENGI SASA WAMEKUWA MATAPELI WAKICHUKUA ADVANCE NA KUTAMBAA MAJUZI JAMAA YANGU ALILIWA DOLLER 3500 AKAAMBIWA APELEKE ADVANCE ...HII UJAWEKA KIBANDA MSHENZI MBWENI AMA BAGAMOYO UKISUBIRI BARABARA ZA JUU ZIPITE MWAKANI???KUMBUKA KWENYE BAIBO KUNA WATU WALIMPELEKA KAHABA KWA YESU WAKSEMA SHERIA INASEMA HIKI NA KILE AKAWAAMBIA NENO MOJA KAMA KUNA MTU MSAFI ANYANYUE JIWE AMRUSDHIE..ALIINAMA ALIPOINUKA AKUKUTA MTU ZAIDI YA YULE DADA AMBAE ALIKUJA KUKIRI KOSA LAKE NA KUSEMA HATA ALIE NAE SI MUME WAKE BALI WA MTU AKATUBU NA SASA ANAKULA SAHVU PEPONI SO USISHANGAE HUYO UKASIKIA ANAKULA AC WE UKILAMBA MOTO NA FUNZA WASIO NA ADABU SIKU YA MWISHO
 
Amuoe waishi raha mstarehe.....:redfaces::redfaces:
manake wanawake wa hivyo mara nyingi hawataki mtu wa kusettle naye...
sasa huyu anaonekana yuko tofauti,.....sijui ni mtarimbo wa huyo kaka umemchanganya!LOL
 
na yeye si auze mwili tu

nadhani hili ndio jibu muafaka,
kwa sasa ndoa yao inahang kwenye imbalance..
wivu umetawala kwa mwanaume,akidhani wenzie wanafaidi zaidi..tunda lake...
sasa na yeye akagawe dudu ili kubalance mambo...:bump::party:
 
Jamani ama kweli hujafa hujaumbika na humu chini ya jua kuna mambo kibao yanatokea...Niko na rafiki yangu Ughaibuni jamani, ofcuz hana zile kitu inaitwa papers, sasa bahati nzuri alikutana na msichana mmoja kweli ni mzuri, sasa huyu msichana kila siku anaenda kazini saa mbili usiku, baada ya miezi miwili wakiwa wanakaa pamoja jamaa kagundua huyu demu wake anafanya kazi Night Club, kaamua kuondoka ila demu anakubali kuolewa na jamaa siku yoyote, jamaa hana hili wala lile kaniuliza, je wanajamvi nimshaurije? Kesho nakutana nae.....ushauri wanaThinkers.....

Labda ungesema huko night club anafanya shughuli gani. kufanya kazi tu night club si tatizo manake kuna kazi nyingi sana. Akiwa malaya labda anajiuza sawa. kama si hivyo mbona poa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom