Tatizo wanawake wa siku hzi mnaanza kutumika katika umri mdogo sana ndio maana thanami yenu ya kuolewa imeshuka. Sio ajabu kumkuta mtoto wa miaka 15 amEtombekA na wanaume wasiokuwa na idadi hadi amekata hisia kule chini. Sasa mtu kama huyu unamuoa wa nini?Kwenye Jamii yetu mwanamke aliyeolewa ana thamani kubwa kuliko ambae hajaolewa.
Ndio maana humu thread za kuwasema ambao hawajaolewa na umri umeenda na wengine hata kuamua kuzaa tu haziishi.
Kabla hujawanyooshea vidole hao wanaokimbilia kuolewa, basi Anza kuinyooshea jamii kidole, Kwa kutufanya wanawake tujione bila ndoa si lolote na si chochote. Na aliyeolewa ndio mjanja.
- Sielewi kwa nini wanawake wanaongelewa sana, kulingana uwiano wa Ke na Me kwenye matokeo ya sensa, kama wanawake hawaolewi inamaanisha kuna wanaume hawajaoa. Thamani ya ndoa ipo kwa wote ME na KE. Mwanaume pia kama hana mke huonekana hana thamani bila kujali elimu, pesa wala umri.Kwenye Jamii yetu mwanamke aliyeolewa ana thamani kubwa kuliko ambae hajaolewa.
Ndio maana humu thread za kuwasema ambao hawajaolewa na umri umeenda na wengine hata kuamua kuzaa tu haziishi.
Kabla hujawanyooshea vidole hao wanaokimbilia kuolewa, basi Anza kuinyooshea jamii kidole, Kwa kutufanya wanawake tujione bila ndoa si lolote na si chochote. Na aliyeolewa ndio mjanja.
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzaziFYI ndoa ni one of the greatest achievement kwa mwanamke
Ukiolewa unajiona kama uko na security fulani hivi
Siyo lazima kuwa binti asiyeolewa ni malaya. I can assure you, kuna mabinti hawajaolewa ila bado wanajitunza sana.KWa wewe mleta mada ,utapenda binti yako aolewe au awe public property (kama choo cha umma)?
Mungu asikilize sala zake.Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
BarikiwaSisi ndo tunaowapeleka watoto wa kike kuwa na hiyo mentality.
There is more to life than just marriage. Am a strong advocate of marriage having been married myself lakini I never throw stones at simgle moms or people who have opted not to get married.
Napenda msichana awe focused, alinde usichana wake, na heshima yake. Asome au afanye biashara ajijenge kiakili na kifedha halafu aingie kwenye ndoa akiea stable upstairs and pocketwise.
Money is always a woman's insurance.
Wadada jijengeni. Travel the world..... Soar as high as you can. Marriage shouldnt be the end of your dreams.
Mwenzio kachoka kupiga selfie🤣🤣🤣🤣Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi