Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

nadhan wanapenda t kipindi cha mwanzo mapenz huwa na bashasha tele lakin kipindi cha mpito nikigum sana kwao hawaamin kipindi cha pili kama wanaweza saidiwa na upepo labda solution kwao ni kubreak apart



Mkuu kipindi cha kujua mwanamke wa kweli kipindi cha mpito hapo kama una roho nyepesi unaweza kuona dunia yote imekuangukia mgongoni na unakosa cha kufanya maana plan zote zinakuwa zimekufa hiyo ilinikuta kipindi cha mpito ni shida aiseee
 
sitosahau Valentine Day mambo hayakua mazuri kutoka nae ,nikakimbiwa [emoji22]
 
Sorry sijui kwanini msichana akihisi kauchumi kako kameyumba anasema naona umepata mwingine bora tuachane is it no money no honey?
Mkuu wote wapo hivyo,la msingi ni kukataa tu maana utaachana nao kila mwezi
 
Back
Top Bottom